Hypnostic therapy-- hiyo hutumiwa kutibu wagonjwa wa akili nk,
Kitendo cha mtu kuweza kuitawala akili yako bila wewe mwenyewe kujitambua au kuitawala akili yako hiyo ni miongoni mwa elimu za "Hypnotism", yaani kuna vitu kutoka kwa wanyama (all animals + human beings) na kutoka kwenye aina fulani ya mimea, vitu hivyo vichanganywa "kitaalamu" hapo unaweza kupata "hypnostic stuff", hiyo stuff ndiyo hutumika katika kulaza watu , kufanya watu wasijitambue, kuwafanya watu wawe mentally ecstatic nk, kifupi ni kwamba; Hypnotism has got to do with mental, it affects mental either positive or negative, wachawi hutumia negatively ndio maana uchawi unaitwa Dark science.
It is Hypnosis to be precise.😀😀