Hakuna mchawi anayechanja chale watu usiku, acheni kulalia vitanda vichafu.

Hakuna mchawi anayechanja chale watu usiku, acheni kulalia vitanda vichafu.

Safisha kitanda kabla ya kulala uone kama utapigwa chale. Mnalalia vitanda vichafu, yakiwapata mnasingizia wachawi.
Mpe mfano mdogo alale stoo alafu aje na marejesho asubuhi, siku inayofuata atafute hoteli karibu yake alipie chumb alale kesho aje na majibu..
 
Uchawi upo. Mchanga hauwezi kukukwaruza ukaacha alama ya chale. Kama haukubali kwamba uchawi upo baki na msimamo wako kama ulivyo na waache wahanga wa hayo mambo watoe ya moyoni. Pia kama huamini uchawi upo jitahidi sana kuwa na msimamo mkali sana kuhusu imani yako ya kidini. Kinyume na hapo hata wewe waweza kuwa mhanga muda wowote.
 
Very good.

Halafu cha ajabu yeye mwenyewe ndio chawi kuntu.
 
Ila jamani kwani uchawi si umezungumziwa kwenye vitabu vya dini? Sasa kama unaamini hivyo vitabu kwanini usiamini na huo uchawi pia, [emoji1]
Unakuta kabisa mtu anasema hakuna uchawi ni imani za kiafrika na masimulizi ya zamani halafu anaamini kuhusu hadithi za Yesu na Muhammad [emoji848]
 
Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.

Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.

Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
Padri mmoja alikuwa akiwaambia watu kuwa chale hizo ni meno ya panya waliojaa majumbani kwenu kwani meno ya panya ni makali kama nyembe. Watu walicheka sana wakisema huyu padri hajui kitu, chale tatu mkono wa kulia, chale tatu mkono wa kushoto na nyingine tatu mguu wa kulia na kushoto hivyo hivyo?! Panya hao wana akili sana!
 
Umenikumbusha mbali hiyo "utakufa mdomo wazi" shangazi yangu huyo cha maneno hapo anasindikiza na bonge la sonyo [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwakuwa huamini uchawi sawa
Ila njoo nikupeleke namanyele ukaone ukaone radi za kutengeneza 2000 tu

Ntakuonesha katoto kashule katandike makofi tu uone siku ya pili itakwaje

Biblia yenyewe imekir uchawi

Biblia imeandikwa na watu wa zamani. Sasa kwa nini isikiri uchawi?
 
Ila jamani

Halafu nikupe siri, wengi wanaosema "hakuna uchawi" ni wachawi kuntu magwiji wa ushirikina na giza.

Hawa wanachofanya ni kutumia MBINU ya kisaikolojia ya kuhadaa watu na kupoteza maboya ili uache kuamini uwepo wao kisha wakunyooshe kimya kimya taratibu.

Hamna mtu MNAFIQ kama MCHAWI. [emoji851]
 
Padri mmoja alikuwa akiwaambia watu kuwa chale hizo ni meno ya panya waliojaa majumbani kwenu kwani meno ya panya ni makali kama nyembe. Watu walicheka sana wakisema huyu padri hajui kitu, chale tatu mkono wa kulia, chale tatu mkono wa kushoto na nyingine tatu mguu wa kulia na kushoto hivyo hivyo?! Panya hao wana akili sana!
Wanaochanjwa hivyo wanakuwa wameenda kwa mganga kujizindika. Wanasingizia wachawi ili wasionekane washirikina. Hata ukikuta familia nzima imechanjwa kuwa makini, wanakuwa wameenda kwa waganga. Uiswe mwepesi kuamini maneno ya raia, waongowaongo sana.
 
hujafungua wala kusoma hiyo link niliokupatia.
Nimesoma nimeona unapingana na biblia kwamba imekosea sasa
Ila njoo ufanye utafiti Namanyele mama radi ya 2000 kiangazi na inapiga mtu chumbani

Njoo uone mwanaume aliyeoteshwa matiti ambaye alikuwa mwizi

Njoo ukutane na watoto wanaogopeka shuleni na mitaani

Ukimgusa kesho sio yako

Uchawi upo ila kwa kuwa kuna Mungu
Basi tumwombe atulinde maana nguvu zake ni kuu kuliko za giza (uchawi)
 
Mpaka umeandikwa manake upo

Jaman kujeni Namanyele mjionee uchawi kweupeeeee

Acha kufikiria kijinga.

Kwa hiyo kitu chochote kikiwa kimeandikwa sehemu ni ukweli..je uongo huwa hauandikwi?

Mfano mimi nikiandika kwenye kitabu nimeona paka amegeuka kuwa ng'ombe. Wasomaji wataamini sababu imeandikwa ?

Uchawi haupo bali ni hadithi za kufikirika

Uchawi ni imani zilizotokana na ujinga. Mjinga asipoelewa kitu anasingizia uchawi.
 
Back
Top Bottom