Hakuna mchawi anayechanja chale watu usiku, acheni kulalia vitanda vichafu.

Hakuna mchawi anayechanja chale watu usiku, acheni kulalia vitanda vichafu.

Bagamoyo ni wachawi we dada acha afu kule sio mpaka uwachokoze
Wanakuchezea tu tofaut na wafipa mpaka umchokoze
Hizi ni imani zilizotokana na ujinga. Mjinga asipoelewa kitu anasingizia uchawi. Zamani magonjwa yote yalihusishwa na uchawi. Hata wazungu walikuwa hivyo nyakati za gizq.
 
Ni kama conditions hapo juu au ulipitiwa na allergic reactions. Uliona damu zilizotokana na kuchanjwa?
Kwakuwa huamini uchawi sawa
Ila njoo nikupeleke namanyele ukaone ukaone radi za kutengeneza 2000 tu

Ntakuonesha katoto kashule katandike makofi tu uone siku ya pili itakwaje

Biblia yenyewe imekir uchawi
 
Kwakuwa huamini uchawi sawa
Ila njoo nikupeleke namanyele ukaone ukaone radi za kutengeneza 2000 tu

Ntakuonesha katoto kashule katandike makofi tu uone siku ya pili itakwaje

Biblia yenyewe imekir uchawi
Hapana sio kweli.

Biblia haikiri hata chembe huu uchawi wa dhana ya kiafrika kama ulioelezea hapa, uchawi wa kutengeneza radi, kuchanjwa na nyembe usiku nk. Ni moja ya makosa yalioingia ktk biblia ya kiswahili toka kwa watafsiri wa mwanzo kuja lugha yetu ya kiswahili

Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.

Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.

Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
Dahhh!!kuna watu wanalala bila kukung’uta kitanda?? Au unazungumzia mbuzi ng’ombe?
 
Unaonekana huna anachojua kwenye utamaduni unaoitwa uchawi, usiongelee vitu usivyo vijua Wala kuvielewa
 
Asante sana Lycaon pictus maana kupitia huu uzi nimezioata na sababu za mtu kuona amechanjwa.

Mi nilikuwa na majibu ya kunyonyoka nywele tu umeniongezea kitu kwenye kuchanjwa.

Naomba kuongezea kitu pia kwamba wengine hasa hawa wanaoamini sana ushirikina anaweza kwenda kwa mganga mwenyewe akachanjwa kwa hiyari ake ila siku mtu wa nje akiziona kwake.... anasingizia alichanjwa bila kujitambua usiku ili asionekane mtu wa hizo mambo.

Kingine ni kwa familia zinazoamini sana hizi mambo zinaweza kuamua kuwalinda wanafamilia wote. Sasa ili kuepusha upinzani toka kwa vitoto 'visomi' wanaamua kuwalewesha iwe kwa dawa au pombe kisha mchakato wa mila unafanyika akija kuzinduka atajua mwenyewe ahisi ni nini. Tena inaweza kusaidia akubaliane kuanza kushiriki na tambiko nyingine maana ushahidi anao sasa kwamba kuna 'kuchezewa na wachawi'. Huo 'Ubishi' wake ushamfikisha pabaya.
 
Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.

Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.

Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
Tulia wewe hujui wachawi
 
Hamna anayechanjwa na wachawi. Hiyo inaitwa dermatographia, yaani ni kama mtu anaandika kwenye ngozi hivyo kunakuwa na pattern kabisa. Hao wanaodai kuchanjwa waliona hata damu kwenye mashuka? Au watadai wachawi waliokuja na ungo wameondoka nayo? Kifupi ni kuwa ujinga ndiyo unatufanya tuamini mambo haya.

Mtz akiona hivi asubuhi atasema wachawi walikuja wakamchanja.

33e67c06437e8c2f9ff35fd17073aff7.jpg

a9907efd8614331f3e1be1aaf2003436.jpg
Hiyo yote ni mikwaruzo bro, ndio nikasema hujui kuchanjwa maana yake nini. Hiyo mifano yako yote ni mikwaruso aidha umelala vibaya au umelalia vitu.

Kuchanjwa ni deep skin cutting two or three dots... in a systematic pattern.

Ukisikia kuchanjwa ni kama hivi Google-Ergebnis für https://cdn.punchng.com/wp-content/uploads/2016/11/25125728/Tribal-Mark.jpg
 
Hao wa hivyo, wa hadi damu inatoka wanakuwa wameenda kuchanjwa na waganga matapeli. Wanashindwa kusema ndiyo maana husingizia kuchanjwa na wachawi usiku. Wengi hua ni hizo conditions nimeweka.
 
Hao wa hivyo, wa hadi damu inatoka wanakuwa wameenda kuchanjwa na waganga matapeli. Wanashindwa kusema ndiyo maana husingizia kuchanjwa na wachawi usiku. Wengi hua ni hizo conditions nimeweka.
Ndio nakuambia tema nate chini, kisikukute. Unachnjwa mwili mzima nyumbani kwako, wala sio kwa mganga wala nini.

Unaamka asubuhi unapooga ndio unaanza sikia maumivu ukiangalia chale. Mgongoni kifuani mikononi etc.
Kama hujakutana nalo usiseme halipo
 
Wa kuchanja hivyo hamna. Ujinga ndiyo hufanya watu waamini habari kama hizo.
 
Hapana sio kweli.

Biblia haikiri hata chembe huu uchawi wa dhana ya kiafrika kama ulioelezea hapa, uchawi wa kutengeneza radi, kuchanjwa na nyembe usiku nk. Ni moja ya makosa yalioingia ktk biblia ya kiswahili toka kwa watafsiri wa mwanzo kuja lugha yetu ya kiswahili

Ufu 22:15

Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.
 
Hivi unajua asilimia karibu 80 ya watu wanalala stoo au wazungu wanaita GARAGE. Unakuta geto lina mtungi wa gesi, kopo lakuongea, msumeno, panga, screwdriver, viatu, tindo, jikoo la mkaa, vitunguu, nyanya unadhani mazingira haya vyote kwapamoja usiku wake mtu anakuwa katika hali gani ya ndoto

Jaribu kulala chumba chakulala, nasema chumba chakulala chenye kitanda tuuu uje na marejesho asubuhi...
 
Back
Top Bottom