Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Umewahi kunjiwa yai na wachawi?
Chale tu hawawezi sembuse kuvunjiwa yai??😀
Mimi kabla sijalala ninapojilaza kitandani huwa nafanya dua; Nasoma Suratul fatha moja, Suratul ikhlas moja, Suratul falaq moja na mwisho Suratul nnas moja halafu nafanya kujipakaza viganja vyangu nilivyovisomea hizo dua, kutoka miguuni hadi kichwani kisha nalala, hapo hakuna mchawi-mchanja chale au mvunja yai yeyote atakayesogea.
Hilo ni fundisho kutoka kwa Bwana wetu mtume Muhammad (saw), na ningependa kuchukua nafasi hii kuwanasihi Waisilamu wote kushika njia hii ili kujikinga na shari za usiku kutoka kwa watu au viumbe wabaya.