Hakuna mchawi anayechanja chale watu usiku, acheni kulalia vitanda vichafu.

Hayajakukuta wewe na yakikukuta huwezi kuja kusema huku kwa kuwa umeleta shit ngja leo usiku nije nikuchanje

Hata Mimi nilitaka kumwambia hivi hivi, mchanga umchanje mtu kuanzia begani hadi kwenye kiwiko Cha mkono! Au kuanzia begani hadi kiuoni! Labda angesema kitu kingine lakini si mchanga..
Tumecheza Mpira vizuri vichangani ........wapi uliwai kuona chale kwenye mwili ??
Huku mtaani wanaopinga au kuaminisha watu kua hakuna uchawi, wengi wao ndo hua wachawi
Endelea kukua na kutembea utakuja yaona
Bila shaka ninyi sio wahusika na wala hayajawakuta ila haya mnayoeleza ni maneno tu ya kuambiwa, kusimuliwa, na kusikia kuwa ooh ni vile na hivi basi. Ila kiuhalisia hao wachawi wenyewe utawakuta wapi ? Zaidi ya kutishana tishana tu kwa masimulizi ya kusikia kama ivi mnavyofanya.

tatizo huwa siyo kwamba wachawi hujificha kwa sababu mambo yao ni ya siri, la hasha, isipokuwa kwa kuwa hao wanaoitwa wachawi "HAWAPO". Na huo unaodhaniwa kuwa ni uchawi "HAUPO"

tumebaki na kelele tu, “Kuna wachawi na uchawi”, “Kuna wachawi na uchawi,” “Kuna wachawi na uchawi”. Tukiulizana wako wapi wachawi wenyewe. Tunabaki kusema, “Oh, hayajakukuta”, “Oh, yakikukuta utajua” na kadhalika.

Kifupi, watu tumebaki kudhaniana dhaniana tu na kutoa mifano ya mbali kwa mbali. Ukizungumza na watu wa Lindi watakusimulia hadithi za Sumbawanga au Mwanza. Ukienda Sumbawanga utasimuliwa habari za Malawi. Ukienda Mwanza utasimuliwa hadithi za Tanga na Msumbiji. Ukienda Kenya utasimuliwa habari za Tanzania na India. Ukiishi Tanzania utasimuliwa habari za Kongo na Nigeria.

Kiuhalisia ukiamua kufuatilia au kutafiti hata ninyi mwenyewe ni kuwa mtaishia kukutana na hadithi hadithi tu au na vituko vingi. Vingi ya vituko hivyo utaambiwa vilitokea mwaka juzi au miaka mingi iliyopita. Vituko vyenyewe wala haviwi vya pekee sana, vingi vyake huwa vyenye kuelezeka tu na vingi ya hivyo utakuta ni "ujanja ujanja" tu na mambo ya kufanyiana "timing" basi. Na vichache kati ya hivyo ni mambo yanayoelezeka kisayansi.
 
Sie tumekutana nao basi..... Kama wewe hujakutana nao ni vizuri pia..... Ila usiwasemee watu
 
Mkuu acha kabisa,haya mambo,mwanakijiji mwenzetu na family friend alipata shida sana yaani yule bibi za kwake anatuma kama drone haangaiki kukufata kwako,so kilichomtokea huyu family friend yeye kila siku nyumba nzima ni chale,ikafika kipindi wakasema wakeshe usiku mzima wanakesha ila asubuhi chale,akasema sasa tusilale ndani wakaenda kukaa sehemu na watoto,asubuhi kama kawa chale,kumbe bwana yule mchawi anachanja mgomba alafu ananena chale zinaenda kwa walengwa,kuna wachawi nyie
 
Hayo mambo ya wachawi kuchanja watu chale kwanini yawakute waafrika tu, na sio wazungu?

Ujinga+Uchafu+umaskini+uchawi=Muafrika
 
Bado ni yaleyale tu.

Ndio maana nimeeleza kule juu haya ni mambo ya kusimuliana tu na kupokezana kwa masimulizi kama haya basi. tunatushana sana.

Sio ajabu ukimpata huyo mwanakijiji au huyo family friend nao utakuta wote hawana ushahidi usiotia shaka zaidi wakabakia na masimulizi tu basi.
 
Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.

Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.

Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
Hayajakukuta ndg!
Huo mchanga unakuvua nguo za ndani, unakuchanja then unakaa pembeni?

Sema imani yako ndio itakuokoa. Ama uamini au usiamini bt uchawi na wachawi wapo.
 
Hayo mambo ya wachawi kuchanja watu chale kwanini yawakute waafrika tu, na sio wazungu?

Ujinga+Uchafu+umaskini+uchawi=Muafrika
Wazungu waishachana na hizi habari tangu zamani sana. Sababu ni mambo ya kusadikika, na masimulizi tu hayapo katika uhalisia. Mengi ya yanayoelezwa kuwa ni uchawi ni matukio na visa vya tricks, timming na ujanjaujanja tu na memgine ni matokeo ya matendo ya muhusika mwenyewe kama magonjwa nk.

Hata wewe mwenyewe ukiamua kufanya utafiti hao unaosikia wanaitwa wachawi HUTAWAPATA.
 
Hayajakukuta ndg!
Huo mchanga unakuvua nguo za ndani, unakuchanja then unakaa pembeni?

Sema imani yako ndio itakuokoa. Ama uamini au usiamini bt uchawi na wachawi wapo.
Hakuna mambo kama hayo. Ni ujinga ndiyo unafanya watu waamini habari za kuingiliwa na mchawi aliye na kiwembe kisha akawachanja. Kama tu ambavyo zamani waliamini magonjwa yanatokana na kurogwa, lakini baada ya ujinga kuondoka tumefahamu vyanzo vya magonjwa.
 
ACHA UCHAWI WEWE.

PUMBAVU KUBWA.
 
Mkuu acha kabisa,haya mambo,mwanakijiji mwenzetu na family friend alipata shida sana yaani yule bibi za kwake anatuma kama drone haangaiki kukufata kwako,so kilichomtokea huyu family friend yeye kila siku nyumba nzima ni chale,ikafika kipindi wakasema wakeshe usiku mzima wanakesha ila asubuhi chale,akasema sasa tusilale ndani wakaenda kukaa sehemu na watoto,asubuhi kama kawa chale,kumbe bwana yule mchawi anachanja mgomba alafu ananena chale zinaenda kwa walengwa,kuna wachawi nyie
Inachekesha na kusikitisha kuona mtu mzima anaamini habari kama hii. Eti anatuma kama drone!!?
 
Sie tumekutana nao basi..... Kama wewe hujakutana nao ni vizuri pia..... Ila usiwasemee watu
Wewe hujawahi kutana na uchawi. Imani yako juu ya uchawi umeipata kwenye manenoi ya kusikia kwa wazazi wako na watu. Nao wamesikia kwa watu.
 
Utoto raha sana
Unakuta mtu mzima anaamini kuwa kuna watu usiku hupita ukutani bila kuonekana wakiwa na viwembe na kuchanja watu mwilini. Halafu sometimes watu hao huwa uchi!!?
 
Wewe hujawahi kutana na uchawi. Imani yako juu ya uchawi umeipata kwenye manenoi ya kusikia kwa wazazi wako na watu. Nao wamesikia kwa watu.
Kama tumeishi mazingira sawa haya..... Naona tutapoteza muda tu hapa
 
Bagamoyo niliwahi amka nimechajwa mwili mzima
Sitasahau

Nb mimi sio muumini wa imani za kishirikina kuanzia wazaz mpaka mimi

Mkristo
Mluther
 
Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.

Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.

Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
Ulilo liandika... Kama lilivyo, libebe hivyo hivyo... Kaliseme kijijini kwenu mchana kweupeee....

Narudia tena, Ulilo liandika... Kama lilivyo, libebe hivyo hivyo... Kaliseme kijijini kwenu mchana kweupeee....

Kama hujazaliwa kijijini nenda KWa waha huko kaliseme au hata usukumani kaliseme...

Baada ya Hapo... Lala hata wiki 1 afu ndo Uje uandike tena
 
Bagamoyo niliwahi amka nimechajwa mwili mzima
Sitasahau

Nb mimi sio muumini wa imani za kishirikina kuanzia wazaz mpaka mimi

Mkristo
Mluther
Mtu akiamka akakuta hivi atasema wachawi wamemchanja usiku. Inaitwa dermatographia.

11826d7167751b04d56d8f37c9387cd1.jpg
 
Back
Top Bottom