Hakuna mchezaji ambaye atatokea katika hii dunia kama mnyama Pele the don(black mamba) record hazidanganyi

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
"Nakili najua watu mtanipinga sana lakini huu ndo ukweli, na ukweli humuweka mtu wazi na msema ukweli in mpenzi wa Mungu"

Najua watu wengi hawakuuona Mpira wa Pele, lakini kiukweli kwa rekodi hizi chini utakubali nisemalo;

1,Word cup nyingi(3)
2,Magoli mengi(1800)
3,Mchezaji bora wa karne akishea na Maradona (1990)
4,Mchezaji bora wa dunia Mara nyingi
5,Kupiga chenga goli hadi goli
6,Kutokana na rekodi ya FIFA tatu bora no;
1)PELE THE DON
2)Maradona
3)Messi
Kama unabisha utakuwa mototo wa juzi na hujui mpira na pia unaweza kwenda YouTube ukaandika wachezaji 30 bora wa wakati wote orodha ikiongozwa na PELE THE DON.

Nawasilisha uzi wana Jf
POVU RUKSA KWA AMBAE HAJUI MPIRA OK.
 
MKUU nasikitika kukuambia kuwa hujui mpira.
 
Tukubali jambo moja la wazi pasipo ubishi wowote, MESSI ndio mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani toka mchezo wa mpira umeanza.
Ni ukweli wa wazi sana, yule kiumbe sio wa kawaida kisoka.
 
Wewe utakuwa under 18 bila shaka. Pele ni habari nyingine kabisa usimfananishe na watu wa ajabu
 
"Nakili najua watu mtanipinga sana lakini huu ndo ukweli, na ukweli humuweka mtu wazi na msema ukweli in mpenzi wa Mungu"

Najua watu wengi hawakuuona Mpira wa Pele, lakini kiukweli kwa rekodi hizi chini utakubali nisemalo;

1,Word cup nyingi(3)
2,Magoli mengi(1800)
3,Mchezaji bora wa karne akishea na Maradona (1990)
4,Mchezaji bora wa dunia Mara nyingi
5,Kupiga chenga goli hadi goli
6,Kutokana na rekodi ya FIFA tatu bora no;
1)PELE THE DON
2)Maradona
3)Messi
Kama unabisha utakuwa mototo wa juzi na hujui mpira na pia unaweza kwenda YouTube ukaandika wachezaji 30 bora wa wakati wote orodha ikiongozwa na PELE THE DON.

Nawasilisha uzi wana Jf
POVU RUKSA KWA AMBAE HAJUI MPIRA OK.

Achaa upuuzi uo.

Pele magoli yake aliofunga ni 700 nakitu uko hata 800 hajafika. Ayo mengine ni ya mazoezini na mechi za mitaani.
Kuhusu uchezaji bora wa karne Maradona ndie alieshinda kwa kura. Fifa wakaishia kumtangaza kwa nguvu Pele.
Kuhusu Kupiga chenga goli hadi goli hebu kajaribu kumtizama maradonna alafu uje ulete majibu.
izo world cup 3 unazozizungumza nyengine alichukua akiwa bench, wakongwe kina Garncha na Vava ndio waliofanya vitu.
 
Fact kabisa kiongozi. Hawa ndio mashabiki wa Cr7,, kwahiyo usione ajabu baadhi yao wakimponda MESSI NA DIEGO.
 
Wewe utakuwa under 18 bila shaka. Pele ni habari nyingine kabisa usimfananishe na watu wa ajabu

Unamwambia mwenzio U18, wewe ulikuwepo enzi za pele? Si umecheki you tube au? Mimi pia nimemcheki youtube yani hajafikia hata robo ya Messi huyo Pele wako. Maradona mwenyewe kamzidi mbali tu pele,, kwa Messi ndio hagusi..nyie ongeeni mpaka mpasuke.
 
Achaa upuuzi uo.

Pele magoli yake aliofunga ni 700 nakitu uko hata 800 hajafika. Ayo mengine ni ya mazoezini na mechi za mitaani.
Kuhusu uchezaji bora wa karne Maradona ndie alieshinda kwa kura. Fifa wakaishia kumtangaza kwa nguvu Pele.
Kuhusu Kupiga chenga goli hadi goli hebu kajaribu kumtizama maradonna alafu uje ulete majibu.
izo world cup 3 unazozizungumza nyengine alichukua akiwa bench, wakongwe kina Garncha na Vava ndio waliofanya vitu.
Ufatiliii kumbe eti alikuwa benchi,garincha mwenyewe kakili HAKUNA mchezaji kama Pele,wewe mtoto wa juzi ndo unaleta sarakasi shame to you,eti maradona wakati kachukua world cup moja tena KWA mbinde haswa,tuseme tu alipewa na ndo maana baada ya mechi refa alifungiwa maisha na maradona kufungiwa na faini juu,weka mbali na watoto PELE THE DON
 
Back
Top Bottom