Hakuna mchezaji ambaye atatokea katika hii dunia kama mnyama Pele the don(black mamba) record hazidanganyi

Messi Argentina heshima anayo ijapokua si yakulinganisha na maradano, Hata kina Batistuta, Crespo, Ayala, Simone wanayo heshima argentina.

Na france 98 haikuwa timu ya mtu mmoja, Thuram, Blanc, Lizarazu, Deschamp, na wengine. Ni tafauti kabisa na Argintina ya 86.

Tusisema sana labda ungelitueleza nafasi walizokunazo kina Valdono, burruchagga na Batista kwenye ulimwengu wa kandanda kipindi cha miaka ya 80 mpaka 90.
Heshima anayo kwa kipaji chake ila hawez kuwa na heshima kama ambayo anayo maradona
 
Mbona Pele alishapitwa kiwango na kina Maradona, Messi, Ronaldo Mreno, Ronaldo Mbrazil, Ronaldinho Gaucho. Ikumbukwe kuwa wakati Pele alitamba kipindi kile watu walikuwa hawajuwi kucheza kama ilivyo sasa, wengi walikuwa wasindikizaji tu kama vile wachezaji wetu hapa Bongo na ndiyo maana Pele alinyanyasa sana wachovu miaka ile ya 50 mwishoni, 60, na mwanzoni 70.
Hii napinga! Ina maana hata vizazi vijavo vitapinga uwezo wa akina Messi, Ronaldo, Gaucho na wengineo kwa sababu tu hawakucheza kipindi chao au walicheza kipindi cha nyuma. Hii hoja yako ya kumshusha PELE ni dhaifu sana
 
Ni hivi, Pele alionekana mjanja kwa sababu soka la kipindi kile si kama ilivyo sasa. Kipindi kile kila mchezaji anakaba mtu wake na kama unapata beki kibonde kama huyu wa Yanga (Canavarro) LAZIMA utapiga magoli hata 100. Kwa sasa ukabaji ni wa kitimu zaidi na kuwa mchezaji bora LAZIMA uwe na mbinu za ziada. Pele alikuwa anacheza as a number 9 au 10 tu, siku hizi kina Messi na Ronaldo wana revolve, mara yuko anapiga 6, 7, 8, 9. 10, 11 yote hii ni kwa sababu watu wanakaba sana kitimu so mtu inabidi uwe mjanja. Pele never did this.
 
Hhmm... Mkuu, hiz ni fix, umemfatilia kweli pele au story za vijiweni tu ndugu yangu!? Pele ni zaidi ya umsikiavyo, na hakuwa akiganda km usemavyo wakati mwingine alikuwa anacheza as a playmaker, na kulikuwa hakuna mpira huo wa kusema eti anakabwa na mtu m1, nina video kibao pele yupo chini anatoka na kijiji, anawalamba chenga beki watatu mpaka wa4... Unalijua GOL DE LA PLACA!!??? Alifunga baada ya kuwachukua beki wangapi!?

Na usituongopee kuwa kina cr7 wanakuja mpaka namba 6 huku chini huo ni uongo dhahiri shahiri.. Stori za kwenye kahawa usilete huku mkuu
 
  1. LA PULGA
  2. DIEGO MARADONA .
bado sijaona wakucompare nao hawa viumbe tokea nizaliwe bado sijaona hakuna cha pele wala nani. Ingawa mimi ni mwafrika na ni mtanzania lakini kwenye ukweli pasemwe MESSI NA DIEGO NDIO WALIMU WAO waliobakia wakasome kwanza. Kwaherini!
 
Ni hivi, Pele alionekana mjanja kwa sababu soka la kipindi kile si kama ilivyo sasa. Kipindi kile kila mchezaji anakaba mtu wake na kama unapata beki kibonde kama huyu wa Yanga (Canavarro) LAZIMA utapiga magoli hata 100. Kwa sasa ukabaji ni wa kitimu zaidi na kuwa mchezaji bora LAZIMA uwe na mbinu za ziada. Pele alikuwa anacheza as a number 9 au 10 tu, siku hizi kina Messi na Ronaldo wana revolve, mara yuko anapiga 6, 7, 8, 9. 10, 11 yote hii ni kwa sababu watu wanakaba sana kitimu so mtu inabidi uwe mjanja. Pele never did this.

Kipindi cha pele hakukuwa na sheria yoyote wala offside. Jaribu kufuatilia video zake utaona hata mabeki wenyewe ni mizee alafu haikabi kihivyo yote inarudi nyuma.

Mcheki huyu mhuni alafu wanamlinganisha eti na hicho kibabu chenye roho ya korosho na kisichopenda mafanikio ya MESSI! Yeye anawapenda wabrazili wenzie tu...pumbafu kabisa

Hhmm... Mkuu, hiz ni fix, umemfatilia kweli pele au story za vijiweni tu ndugu yangu!? Pele ni zaidi ya umsikiavyo, na hakuwa akiganda km usemavyo wakati mwingine alikuwa anacheza as a playmaker, na kulikuwa hakuna mpira huo wa kusema eti anakabwa na mtu m1, nina video kibao pele yupo chini anatoka na kijiji, anawalamba chenga beki watatu mpaka wa4... Unalijua GOL DE LA PLACA!!??? Alifunga baada ya kuwachukua beki wangapi!?

Na usituongopee kuwa kina cr7 wanakuja mpaka namba 6 huku chini huo ni uongo dhahiri shahiri.. Stori za kwenye kahawa usilete huku mkuu

Naona sasa wewe unaleta habari za kijinga au usizozijuwa....Pele hawezi kumfikia CR7, Ronado wa Brazil (original), Ronaldinho, Messi.....Pele was good ila si kivile. Kwani hata documentary zake huzioni mkuu? Mpira wa kipindi kile si wa sasa, kuna tofauti kubwa sana.
 
Usitumie kauli mbovu, twende kwa point tu ndugu yangu, we unahisi hao unaowataja ww wamemzidi nini babu pele!? Labda kwako vigezo vya mchezaji bora kwako ni vipi halafu kupitia vigezo vyako ndio tuchambue na tumjue namba moja ni nani!? Maana kila mtu na vigezo vyake, wengine goal, wengine skills, kuna entartainment na nyingine kibao.
 
Back
Top Bottom