makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Heshima anayo kwa kipaji chake ila hawez kuwa na heshima kama ambayo anayo maradonaMessi Argentina heshima anayo ijapokua si yakulinganisha na maradano, Hata kina Batistuta, Crespo, Ayala, Simone wanayo heshima argentina.
Na france 98 haikuwa timu ya mtu mmoja, Thuram, Blanc, Lizarazu, Deschamp, na wengine. Ni tafauti kabisa na Argintina ya 86.
Tusisema sana labda ungelitueleza nafasi walizokunazo kina Valdono, burruchagga na Batista kwenye ulimwengu wa kandanda kipindi cha miaka ya 80 mpaka 90.