Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Ukweli ujui mpiraSawa mkuu Ila Mimi record naanza kwa Messi ni hayo tu.
Sawa mwl kashashaUkweli ujui mpira
Coverage yake ya mpira ni chini ya miaka 15....Ukweli ujui mpira
MKUU nasikitika kukuambia kuwa hujui mpira."Nakili najua watu mtanipinga sana lakini huu ndo ukweli, na ukweli humuweka mtu wazi na msema ukweli in mpenzi wa Mungu"
Najua watu wengi hawakuuona Mpira wa Pele, lakini kiukweli kwa rekodi hizi chini utakubali nisemalo;
1,Word cup nyingi(3)
2,Magoli mengi(1800)
3,Mchezaji bora wa karne akishea na Maradona (1990)
4,Mchezaji bora wa dunia Mara nyingi
5,Kupiga chenga goli hadi goli
6,Kutokana na rekodi ya FIFA tatu bora no;
1)PELE THE DON
2)Maradona
3)Messi
Kama unabisha utakuwa mototo wa juzi na hujui mpira na pia unaweza kwenda YouTube ukaandika wachezaji 30 bora wa wakati wote orodha ikiongozwa na PELE THE DON.
Nawasilisha uzi wana Jf
POVU RUKSA KWA AMBAE HAJUI MPIRA OK.
Wewe utakuwa under 18 bila shaka. Pele ni habari nyingine kabisa usimfananishe na watu wa ajabuTukubali jambo moja la wazi pasipo ubishi wowote, MESSI ndio mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea duniani toka mchezo wa mpira umeanza.
Ni ukweli wa wazi sana, yule kiumbe sio wa kawaida kisoka.
OK asanteSawa mwl kashasha
"Nakili najua watu mtanipinga sana lakini huu ndo ukweli, na ukweli humuweka mtu wazi na msema ukweli in mpenzi wa Mungu"
Najua watu wengi hawakuuona Mpira wa Pele, lakini kiukweli kwa rekodi hizi chini utakubali nisemalo;
1,Word cup nyingi(3)
2,Magoli mengi(1800)
3,Mchezaji bora wa karne akishea na Maradona (1990)
4,Mchezaji bora wa dunia Mara nyingi
5,Kupiga chenga goli hadi goli
6,Kutokana na rekodi ya FIFA tatu bora no;
1)PELE THE DON
2)Maradona
3)Messi
Kama unabisha utakuwa mototo wa juzi na hujui mpira na pia unaweza kwenda YouTube ukaandika wachezaji 30 bora wa wakati wote orodha ikiongozwa na PELE THE DON.
Nawasilisha uzi wana Jf
POVU RUKSA KWA AMBAE HAJUI MPIRA OK.
Achaa upuuzi uo.
Pele magoli yake aliofunga ni 700 nakitu uko hata 800 hajafika. Ayo mengine ni ya mazoezini na mechi za mitaani.
Kuhusu uchezaji bora wa karne Maradona ndie alieshinda kwa kura. Fifa wakaishia kumtangaza kwa nguvu Pele.
Kuhusu Kupiga chenga goli hadi goli hebu kajaribu kumtizama maradonna alafu uje ulete majibu.
izo world cup 3 unazozizungumza nyengine alichukua akiwa bench, wakongwe kina Garncha na Vava ndio waliofanya vitu.
Wewe utakuwa under 18 bila shaka. Pele ni habari nyingine kabisa usimfananishe na watu wa ajabu
Mchezaji bora anashea vipi tuzo na mwenzake
Ufatiliii kumbe eti alikuwa benchi,garincha mwenyewe kakili HAKUNA mchezaji kama Pele,wewe mtoto wa juzi ndo unaleta sarakasi shame to you,eti maradona wakati kachukua world cup moja tena KWA mbinde haswa,tuseme tu alipewa na ndo maana baada ya mechi refa alifungiwa maisha na maradona kufungiwa na faini juu,weka mbali na watoto PELE THE DONAchaa upuuzi uo.