Hakuna mchezaji ambaye atatokea katika hii dunia kama mnyama Pele the don(black mamba) record hazidanganyi

Kitendo cha wazungu kumkubali MTU mweusi kuwa best player was Marne, pengne itakuwa waliona aibu kuchakachua kutokana na vitu vyake
 

1958 - Pale alikua bench player alianza kupata namba kuanzia robo fainal. Brazil ilikwenda world cup didi na Vava wakiwa ndio masuperstar watimu. Na Pele na Garincha ndio wakahiti ndani ya mashindano.
1962 - Pele alicheza mechi moja akaumia.
1970 - Pele alikua veterani anavizia tu mbele. (Revalinho, Jarzinho, Gerson, hao ndio walikua mpango mzima

Maradona aliwin world cup moja kweli, Lakini ilikua ni individual performance Tafauti na pele alicheza kwenye timu iliyojaa mastaa.
 

Mkuu upo vizuri katika uchambuzi May God bless you...Diego Maradona alikuwa jeshi la mtu mmoja.
 
Unajua alikuwa Pele ndo mchezaji bora wa mashindano KWA kufunga goli LA ushindi,na pia akachukua golden boot kama best player.
 
Mkuu upo vizuri katika uchambuzi May God bless you...Diego Maradona alikuwa jeshi la mtu mmoja.
Maradona in sawa na Rinaldo de Lima,Zidane, ronadinho ambao wana world cup moja moja,usimlinganishe na the Father of world ball with 3 world cup ever
 
Kuchakachuwa wapi mkuu. Diego ni zaidi ya pele bwana msipende kumpamba huyo dingi kwakuwa ni mweusi mwenzetu. kwenye ukweli siku zote uongo hujitenga.


View attachment 731368


FIFA Player of the Century - Wikipedia
Tuzo hiyo alipewa Pele,afu watu wengi hawakumuona Pele,Pele ndo mpango mzima fuatilia ujue ukweli kwamba FIFA awawezi wakampa MTU ambaye ana W/C moja tena KWA goli LA mkono afu wamnyime MTU mwenye W/C tatu na magoli 1800 mfyuuuu shame on you
 
Unajua alikuwa Pele ndo mchezaji bora wa mashindano KWA kufunga goli LA ushindi,na pia akachukua golden boot kama best player.

Goli la ushindi la mwaka gani?

Pele alishinda best player mwaka 1970. Na ni moja wa muendelezo wa Tunzo za Fifa za kupeana kiholelahole kwa heshima za mtu tu na maslahi mengine. Kwa kuthibitisha hili kajaribu kurudia rikodi za mechi za Brazil za 1970 alafu uje utupe majibu. Hata Leo Messi alipewa uchezaji bora wa World Cup iliopita kisiasa tu.
Hakuwah kuwa top Score wa world cup yoyote.
 


Mbona Pele alishapitwa kiwango na kina Maradona, Messi, Ronaldo Mreno, Ronaldo Mbrazil, Ronaldinho Gaucho. Ikumbukwe kuwa wakati Pele alitamba kipindi kile watu walikuwa hawajuwi kucheza kama ilivyo sasa, wengi walikuwa wasindikizaji tu kama vile wachezaji wetu hapa Bongo na ndiyo maana Pele alinyanyasa sana wachovu miaka ile ya 50 mwishoni, 60, na mwanzoni 70.
 
Wewe utakuwa wa 2000,yaani unabishi ukweli daaah shame on you
 
Kama ni hivyo,basi hao wote umeo wataja,wamecheza enzi ambazo sheria za Moira azijaimarika KWA mfano maradona mwaka wa 1980,but reality sheria zimeanza kuimprove miaka ya2000 ok
 
mtoa mada akili zake zimekupwa sio bure
 
Unamwambia mwenzio U18, wewe ulikuwepo enzi za pele? Si umecheki you tube au? Mimi pia nimemcheki youtube yani hajafikia hata robo ya Messi huyo Pele wako. Maradona mwenyewe kamzidi mbali tu pele,, kwa Messi ndio hagusi..nyie ongeeni mpaka mpasuke.
nimesha waambia mnooo hizo habari lakini majamaa wa humu niwabishi kama luba....
 
daaahhh Jamaa uko vizuri ..hahaha akijibu na hii hoja nitamuona kweli kazaliwa kupinga tu
 
Kama ni hivyo,basi hao wote umeo wataja,wamecheza enzi ambazo sheria za Moira azijaimarika KWA mfano maradona mwaka wa 1980,but reality sheria zimeanza kuimprove miaka ya2000 ok
kwahiyo kwa hoja yako hii ..tuna kubaliana kuwa messi hana mpinzani sindio.....halafu kumfananisha messi na hao viande nikumshushia heshima aisee""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…