Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufatiliii kumbe eti alikuwa benchi,garincha mwenyewe kakili HAKUNA mchezaji kama Pele,wewe mtoto wa juzi ndo unaleta sarakasi shame to you,eti maradona wakati kachukua world cup moja tena KWA mbinde haswa,tuseme tu alipewa na ndo maana baada ya mechi refa alifungiwa maisha na maradona kufungiwa na faini juu,weka mbali na watoto PELE THE DON
1958 - Pale alikua bench player alianza kupata namba kuanzia robo fainal. Brazil ilikwenda world cup didi na Vava wakiwa ndio masuperstar watimu. Na Pele na Garincha ndio wakahiti ndani ya mashindano.
1962 - Pele alicheza mechi moja akaumia.
1970 - Pele alikua veterani anavizia tu mbele. (Revalinho, Jarzinho, Gerson, hao ndio walikua mpango mzima
Maradona aliwin world cup moja kweli, Lakini ilikua ni individual performance Tafauti na pele alicheza kwenye timu iliyojaa mastaa.
Kitendo cha wazungu kumkubali MTU mweusi kuwa best player was Marne, pengne itakuwa waliona aibu kuchakachua kutokana na vitu vyake
Garncha ni bora kumzidi pele wako huyo
Unajua alikuwa Pele ndo mchezaji bora wa mashindano KWA kufunga goli LA ushindi,na pia akachukua golden boot kama best player.1958 - Pale alikua bench player alianza kupata namba kuanzia robo fainal. Brazil ilikwenda world cup didi na Vava wakiwa ndio masuperstar watimu. Na Pele na Garincha ndio wakahiti ndani ya mashindano.
1962 - Pele alicheza mechi moja akaumia.
1970 - Pele alikua veterani anavizia tu mbele. (Revalinho, Jarzinho, Gerson, hao ndio walikua mpango mzima
Maradona aliwin world cup moja kweli, Lakini ilikua ni individual performance Tafauti na pele alicheza kwenye timu iliyojaa mastaa.
Maradona in sawa na Rinaldo de Lima,Zidane, ronadinho ambao wana world cup moja moja,usimlinganishe na the Father of world ball with 3 world cup everMkuu upo vizuri katika uchambuzi May God bless you...Diego Maradona alikuwa jeshi la mtu mmoja.
Tuzo hiyo alipewa Pele,afu watu wengi hawakumuona Pele,Pele ndo mpango mzima fuatilia ujue ukweli kwamba FIFA awawezi wakampa MTU ambaye ana W/C moja tena KWA goli LA mkono afu wamnyime MTU mwenye W/C tatu na magoli 1800 mfyuuuu shame on youKuchakachuwa wapi mkuu. Diego ni zaidi ya pele bwana msipende kumpamba huyo dingi kwakuwa ni mweusi mwenzetu. kwenye ukweli siku zote uongo hujitenga.
View attachment 731368
FIFA Player of the Century - Wikipedia
Wewe ukalale ndo ujui Mpira kabisaGarncha ni bora kumzidi pele wako huyo
Unajua alikuwa Pele ndo mchezaji bora wa mashindano KWA kufunga goli LA ushindi,na pia akachukua golden boot kama best player.
"Nakili najua watu mtanipinga sana lakini huu ndo ukweli, na ukweli humuweka mtu wazi na msema ukweli in mpenzi wa Mungu"
Najua watu wengi hawakuuona Mpira wa Pele, lakini kiukweli kwa rekodi hizi chini utakubali nisemalo;
1,Word cup nyingi(3)
2,Magoli mengi(1800)
3,Mchezaji bora wa karne akishea na Maradona (1990)
4,Mchezaji bora wa dunia Mara nyingi
5,Kupiga chenga goli hadi goli
6,Kutokana na rekodi ya FIFA tatu bora no;
1)PELE THE DON
2)Maradona
3)Messi
Kama unabisha utakuwa mototo wa juzi na hujui mpira na pia unaweza kwenda YouTube ukaandika wachezaji 30 bora wa wakati wote orodha ikiongozwa na PELE THE DON.
Nawasilisha uzi wana Jf
POVU RUKSA KWA AMBAE HAJUI MPIRA OK.
Wewe utakuwa wa 2000,yaani unabishi ukweli daaah shame on youGoli la ushindi la mwaka gani?
Pele alishinda best player mwaka 1970. Na ni moja wa muendelezo wa Tunzo za Fifa za kupeana kiholelahole kwa heshima za mtu tu na maslahi mengine. Kwa kuthibitisha hili kajaribu kurudia rikodi za mechi za Brazil za 1970 alafu uje utupe majibu. Hata Leo Messi alipewa uchezaji bora wa World Cup iliopita kisiasa tu.
Hakuwah kuwa top Score wa world cup yoyote.
Kama ni hivyo,basi hao wote umeo wataja,wamecheza enzi ambazo sheria za Moira azijaimarika KWA mfano maradona mwaka wa 1980,but reality sheria zimeanza kuimprove miaka ya2000 okMbona Pele alishapitwa kiwango na kina Maradona, Messi, Ronaldo Mreno, Ronaldo Mbrazil, Ronaldinho Gaucho. Ikumbukwe kuwa wakati Pele alitamba kipindi kile watu walikuwa hawajuwi kucheza kama ilivyo sasa, wengi walikuwa wasindikizaji tu kama vile wachezaji wetu hapa Bongo na ndiyo maana Pele alinyanyasa sana wachovu miaka ile ya 50 mwishoni, 60, na mwanzoni 70.
tuko pamoja....kula 5Sawa mkuu Ila Mimi record naanza kwa Messi ni hayo tu.
mtoa mada akili zake zimekupwa sio bureAchaa upuuzi uo.
Pele magoli yake aliofunga ni 700 nakitu uko hata 800 hajafika. Ayo mengine ni ya mazoezini na mechi za mitaani.
Kuhusu uchezaji bora wa karne Maradona ndie alieshinda kwa kura. Fifa wakaishia kumtangaza kwa nguvu Pele.
Kuhusu Kupiga chenga goli hadi goli hebu kajaribu kumtizama maradonna alafu uje ulete majibu.
izo world cup 3 unazozizungumza nyengine alichukua akiwa bench, wakongwe kina Garncha na Vava ndio waliofanya vitu.
nimesha waambia mnooo hizo habari lakini majamaa wa humu niwabishi kama luba....Unamwambia mwenzio U18, wewe ulikuwepo enzi za pele? Si umecheki you tube au? Mimi pia nimemcheki youtube yani hajafikia hata robo ya Messi huyo Pele wako. Maradona mwenyewe kamzidi mbali tu pele,, kwa Messi ndio hagusi..nyie ongeeni mpaka mpasuke.
daaahhh Jamaa uko vizuri ..hahaha akijibu na hii hoja nitamuona kweli kazaliwa kupinga tu1958 - Pale alikua bench player alianza kupata namba kuanzia robo fainal. Brazil ilikwenda world cup didi na Vava wakiwa ndio masuperstar watimu. Na Pele na Garincha ndio wakahiti ndani ya mashindano.
1962 - Pele alicheza mechi moja akaumia.
1970 - Pele alikua veterani anavizia tu mbele. (Revalinho, Jarzinho, Gerson, hao ndio walikua mpango mzima
Maradona aliwin world cup moja kweli, Lakini ilikua ni individual performance Tafauti na pele alicheza kwenye timu iliyojaa mastaa.
kwahiyo kwa hoja yako hii ..tuna kubaliana kuwa messi hana mpinzani sindio.....halafu kumfananisha messi na hao viande nikumshushia heshima aisee""Kama ni hivyo,basi hao wote umeo wataja,wamecheza enzi ambazo sheria za Moira azijaimarika KWA mfano maradona mwaka wa 1980,but reality sheria zimeanza kuimprove miaka ya2000 ok