Hakuna mchezaji ambaye atatokea katika hii dunia kama mnyama Pele the don(black mamba) record hazidanganyi

Mimi nasema messi ni zaid ya maradona, wew unayebisha leta vigezo vyako.

Je Messi anaweza kuichukua celta vigo na akaipa ubingwa La Liga na Champion league ?

Maradonna aliirise nopoli kutoka timu ya kugombea kushuka daraja mpaka ubingwa weye unahisi ni jambo lakawida hilo? kwa kipndi chote alichokuepo timu ilikua top ndani ya top 3. Na alipoondoka tu timu ilikufa.
Napoli ilizichallenge Inter, Milan, Juve, Roma zilizokua na wachezaji bora kabisa duniani kwa wakati huo kwa kimoja tu nacho ni maradonna. namuheshimu sana messi Lakini ukweli usiopingika bila Ya Barcelona messi asingelipata hata nusu ya mafanikio aliyonayo.
Playing in Best team pamoja na Best players ni rahisi sana mkuu nalo hilo ni moja point kubwa ambayo maradanno atendelea hata kuchalange Pele. Leo Ronaldo wanafunga magoli 50 kwa msimu kwa kutokana na timu wanazocheza, Wasingiweza kufanya wakiwa Arsenal hata siku moja.
Maradonna aliwin world cup na Argentina, Na msitake kutwambia kwamba ati Valdoano alikua mchezaji wakiwango cha juu. katika argentina mbovu kabisa nilohaw kuishuhudia ni yakipindi cha Maradonna.
 
Competition ilikuwa ndogo kipindi hicho hata na sheria zilikuwa za ovyo..

Ni wachezaji wangapi wenye viwango vya juu walienda huko Madrid na Barca na wakafail kudeliver? Messi na Ronaldo ni wachezaji wa kiwango cha pekee tangia kuumbwa kwa ulimwengu.. Wamekuwa wakifunga magoli ya kitimu na hata magoli ya jitihada zao wenyewe mara nyingi tu..
 

Kikosi kilichochukua 1958 ndicho hichohicho kilichochukua 1962. Sasa kama bila yapele 58 wasingeliweza kubeba taji mbona 62 wameweza? na kuhusu 66 tatizo lilkua la timu mkuu jaribu kufatilia. Wachezaji wingi waliokwenda walikua hawana tena uwezo walichukua mazee kwa heshima tu na wakaacha vijana tele wenye uwezo, timu yao ilikua dhaifu na ndomana haikufanya vizuri.
 

kipindi kipi icho unachosema compition ilikua ndogo mkuu?
 


Ushajichanganya sasa, Zico hakucheza soka miaka ya 60, nani alikudanganya hivyo? Hizo docs nilishaziona na kubaini kuwa mpira wa that time was useless, yaani ulikuwa pedestrian sana, rudia kuangalia tena soka ya miaka ya 50 mpaka 70 mwanzoni. Soka lilianza kupanda kiwango mwaka 1974 na lili-evolve kila mwaka mpaka hapa tulipofikia.
 
kipindi kipi icho unachosema compition ilikua ndogo mkuu?
Huo ndio ukweli.. Kila kitu kilikuwa ovyo..

Hivi Messi na Ronaldo wangecheza bila sheria ya offside wangekuwa wanafunga magoli mangapi kwa msimu?
 
Huo ndio ukweli.. Kila kitu kilikuwa ovyo..

Hivi Messi na Ronaldo wangecheza bila sheria ya offside wangekuwa wanafunga magoli mangapi kwa msimu?

unazungumza kwa kujielewa vizuri? kwani offside imeanza tokea mwaka gani? Sheria unazozizungumzia unajua kama ndizo zinazowasaidia wachezaji wa sasa? unajua kama mpira wa zamani mapka ukapewa kadi yanjano simasihara, yani saivo ukimgongamtu bega tu mala umerambwa kadi. Acha kuishi kwa kasumba.
 
Nani kasema zico kacheza miaka ya 60?? Nimesema wameweka rekodi zilizokaa kwa zaidi ya miaka 60!! Uwe unasoma vizuri kabla ya kucomment

Pedestrian?? Kma ilikuwa pedestrian mbona hakuna mchezaji mmoja aliyedominate mpira miaka yote tofauti na sasa messi na ronaldo miaka 10 wanabadilishana balon d or?? Enzi hizo ballon d or ukibeba ndio unasahau milele maana vipaji vilikuwa kila kona leo hii wachezaji walewale timu zilezile zinabeba vikombe je pedestrian soccer ni miaka hii au miaka ile???

Enzi hizo hamna red card so rafu kibao,hamna substitution so wachezaji wanachoka sana ,hamna penalty hivyo no ushindi wa dezo alafu unaita pedestrian soccer??

Labda kma umeanza kufuatilia mpira mwaka 2010 ndio utasema generation ya kina messi na ronaldo inaikuta ya kina puskas na fitz Walter!!
 
Huo ndio ukweli.. Kila kitu kilikuwa ovyo..

Hivi Messi na Ronaldo wangecheza bila sheria ya offside wangekuwa wanafunga magoli mangapi kwa msimu?
Offside tu??
Enzi hizo hamna red card so rafu kibao tofauti na sahvi kiwiko tu red card

Enzi hizo hamna substitution so wachezaji wanachoka sana hao hao dakika 90

Enzi hizo ukiumia mnacheza 10 uwanjani sio sahvi mtu kateguka tu kidogo anapata replacement

Enzi hizo hamna penalty hivyo no ushindi wa dezo alafu ndio mnalinganisha na enzi za kina messi??

You gotta be kiddin me
 
mchezaji ni mmoja tu anaitwa CR7
 


Narudia, kaangalie tena hizo documentaries kisha urudi hapa.
 
Hahaaaaa izo records za mechi za michangani enz hzo hakukua na ligi classic kama now bob
 
Ubora wa mchezaji kwangu ni uchezaji na si mafanikio, messi anavyocheza ndio mimi namrank kama mchezaji bora wa pili baada ya pele halaf anafatiwa maradona, ukitaka kujua zaidi utauliza, kiuchezaji messi ni bora zaidi, mkuu mafanikio ni ya timu wala si ya mchezaji mmoja, ila lazima aibuke mchezaji mmoja kma kinara ama kiongozi kwa wenzie kufika sehemu fulani, yeye maradona alikuwa hakabi, wala kudaka golini, ni katika assisting na kufunga, so mafanikio ya timu ni michango ya wengi, hii tabia ndio imetuzalishia kuona wakina messi na ronaldo ndio wanadominate tuzo tu na kusahauliwa wengine, mfano ronaldo anafanya attempt 10 anamiss 9 na kupata moja huku navas anakutana na attempt 10 anasave 9 na kufungwa moja ila shujaa atakuwa ronaldo katika timu yake na si kipa wake,

Haya Mkuu unataka kuniambia burruchuga, wakina valdano na wenzao walikuwa wabovu mie napinga hilo, timu yote ilikiwa nzuri ndio maana wakapata mafanikio, we mwenyewe umesema kama messi tukimpa arsenal hawez kufanya lolote kwanini jibu ni sababu arsenal ni timu mbovu, ila hilo halitomfanya messi asioneshe uwezo wake binafsi, ataonesha ila utamezwa na mapungufu ya wenzie wakina cech na kina koscienly[emoji23] [emoji23] ..
Kwahiyo hata maradona wenzie wangekuwa wabovu asingepata chochote, ubora wa mchezaji ni tofaut na watu wanavyouchukulia. Mafanikio ni ya timu nzima, vipi maradona angekuwa anafunga wakina pasarrela wanaruhusu magoli au assist zake kina valdano wanashindwa kuzitumia ingekuwaje.. Ndio maana mie mtu akiniambia pele hakuwa bora kisa tu alipata mafanikio ambayo kina garrincha walichangi mie napinga sababu ilibidi apate wachezaji bora kufikia mafanikio.. Vipi unataka kuniambia pele hakuwa na mafanikio nje ya taifa( i mean katika klabu ambako alicheza bila hao kina garrincha)
 

SANTOS ya wakati wa pele ilikua ni timu bora kabisa brazil. haikuwa yakawaida kabisa, ilishinda vikombe 25 na kufunga magoli 3000 ndani ya miaka 15.

Hata mimi siamini kama mafanikio yanaletwa na mtu mmoja, Lakini kama kuna mtu aliyekariia kabisa mafanikio ya mtu mmoja basini maradona pekee.

Na kuhus kina Valdano na Burruchaga hakuna mtu yoyote hata huko nchini kwao angelikua anawakumbuka kamasi lile taji la 86. Hivi zama za kina Vialli, Hasler, Futre, Schillaci, Matthaus, Klisman, Voller, Gulit, Van Busten, Altobelli, Linker, Butragueno, Enzo Francescoli, micheal Laudrup, Hugo Sanchez, Platini, Zico, Romario, Baresi, Bargomi, Socrates, Eder, Junior, Falcao, Careca, Rijkaard, Bruno Conti, Gianinni, Andres Brehmen, Preben Elkjaer wao walikua kama kina Benteke tu kwa sasa. Japokua nakubali dongo lao si lasaivi lakini kwa kipindi kile walikua wachezaji wakawaida sana tu.
 
Mimi nasema messi ni zaid ya maradona, wew unayebisha leta vigezo vyako.


Hapa tutabishana mpaka kesho,,, so kila mmoja abaki tu na mtazamo wake...wengi tu wanaomkubali Maradona na wapo pia wanaomkubali Pele.

Kwangu mimi nitaendelea kumkubali Maradona zaidi ya babu mzungu,, kwa sababu gani namwita hivyo!! kwa sababu anajipendekeza mno kwa wazungu na ndio maana media zinajaribu kumlinda mtu huyu, but hakuwa na chochote cha kumzidi Diego. Ebu jaribu kufuatilia hata nchi za kiarabu kujipendekeza kwa mzungu ni mwiko ndio maana maelewano baina yao na wazungu ni mdogo sana..mzungu anataka umnyenyekee all the time,, ndio Pele wenu huyo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


  1. KING MESSI ORIGINAL utakuwa umenielewa mkuu
  2. KING DIEGO

Wanafuata hawa...
PELE
ALFREDO DE STEFANO,
PUSKAS
CRUYFF
BURUCHAGGA
ZIDANE
REQUELME
KEMPES
CR7
BECKANBEUER
AIMAR
DE LIMA
PASARELLA
GAUCHO N.K

 
Wewe nakupumzisha kwanza sababu ushakubali kuwa andunje messi ni zaidi ya mjomba maradona..

Naona umemuorodhesha burruchagga ambae mwenzio anamuona eti ni kama benteke
 
Sasa katika hyo santos unayoizungumzia ww kinara alikuwa babu pele, angalia finals zao na mambo aliyoyafanya ni hatarii sheikh wangu.. Kuwa mfungaji bora mara 11(9mfululizo si kitu cha kubeza)

Nakupinga, mafanikio yale hayakiwa ya maradona tu, yalikuwa ya wote, lazima uwape heshima wengine, huwezi kusema valdano alikuwa sawa na benteke[emoji23] [emoji23] [emoji23] , ngoja nikulete karibu france 98,2000 ukiitaja zidane anakuja fasta ndie kinara wao, unataka kuniambia wale kina thierry henry, karembeu, viera, thuram, lizarazu,desailly na wengineo walikiwa km kina benteke!!?[emoji23] [emoji23] tuivute mpaka world cup 2006 kina ribbery waliliwa sawa na benteke kisa tu timu ilikuwa chin ya zidane!!? Jibu ni la hasha.

Mafanikio ya mtu mmoja ni tuzo binafsi tu, ila makombe ni mafanikio ya wote, lihifadhi hili mkuu, ni kweli bila ya komne 1986 kina valdano wasinheheshimika argentina, ila pia hata maradona bila ya kombe 86 asingepata heshima hii, hata messi akimaliza maisha yake argentina bila kiwazawadia kombe hatopata heshima yoyote ile, ataheshimika barca tuu.
 
Wewe nakupumzisha kwanza sababu ushakubali kuwa andunje messi ni zaidi ya mjomba maradona..

Naona umemuorodhesha burruchagga ambae mwenzio anamuona eti ni kama benteke

Na maradona ni zaidi ya Pele. Ni hayo tu mkuu...jioni njema!
 

Messi Argentina heshima anayo ijapokua si yakulinganisha na maradano, Hata kina Batistuta, Crespo, Ayala, Simone wanayo heshima argentina.

Na france 98 haikuwa timu ya mtu mmoja, Thuram, Blanc, Lizarazu, Deschamp, na wengine. Ni tafauti kabisa na Argintina ya 86.

Tusisema sana labda ungelitueleza nafasi walizokunazo kina Valdono, burruchagga na Batista kwenye ulimwengu wa kandanda kipindi cha miaka ya 80 mpaka 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…