Mimi nasema messi ni zaid ya maradona, wew unayebisha leta vigezo vyako.
Je Messi anaweza kuichukua celta vigo na akaipa ubingwa La Liga na Champion league ?
Maradonna aliirise nopoli kutoka timu ya kugombea kushuka daraja mpaka ubingwa weye unahisi ni jambo lakawida hilo? kwa kipndi chote alichokuepo timu ilikua top ndani ya top 3. Na alipoondoka tu timu ilikufa.
Napoli ilizichallenge Inter, Milan, Juve, Roma zilizokua na wachezaji bora kabisa duniani kwa wakati huo kwa kimoja tu nacho ni maradonna. namuheshimu sana messi Lakini ukweli usiopingika bila Ya Barcelona messi asingelipata hata nusu ya mafanikio aliyonayo.
Playing in Best team pamoja na Best players ni rahisi sana mkuu nalo hilo ni moja point kubwa ambayo maradanno atendelea hata kuchalange Pele. Leo Ronaldo wanafunga magoli 50 kwa msimu kwa kutokana na timu wanazocheza, Wasingiweza kufanya wakiwa Arsenal hata siku moja.
Maradonna aliwin world cup na Argentina, Na msitake kutwambia kwamba ati Valdoano alikua mchezaji wakiwango cha juu. katika argentina mbovu kabisa nilohaw kuishuhudia ni yakipindi cha Maradonna.