Ni kweli yanga wazuri sana, lakini mtu kama tshabalala anakosaje namba yanga!? Kuna beki 2 bora kuliko kabeer, hapana, japo kabia uwezo umepungua lakini ni bora zaidi, camara na diarra uwezo ni sawa kwa asilimia kubwa, ngoma anacheza, siwezi anza na mudathir nikamuacha ngoma, labda niambiwe mudathir anamzidi nini ngoma uwanjani..
Mpanzu, kibu Dennis wanaweza kuanzia benchi..
Kibu atakosa nafasi sababu ya nzengeli, kuna vitu vichache kibu anakosa ila ni mbadala mzuri ama sub nzuri.
Mpanzu kama winga halisi wa kushoto basi anapaswa kuanza, yanga wana winga halisi wa kushoto mzuri level ya Mpanzu, sidhani labda nitajiwe..
Ile cntre back, nani nani HAMZA yule ni mtu haswa anaweza kuzima yanga, iwe kikosi cha kwanza ama kutokea sub, yule anaweza kumuweka benchi nob na kusiwe na malalamiko.
Hizi takataka ahoua, mukwala, ateba haziwezi kupata namba