cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kwa kweli.Hawa watu kupona hawawezi Ila tatizo tunajua lilipo..
"unlike the stomach the brain doesn't alert you when it's empty"
Kwa kweli.Hawa watu kupona hawawezi Ila tatizo tunajua lilipo..
"unlike the stomach the brain doesn't alert you when it's empty"
🤣🤣 kwamba huna pingaamiziKwakweli leo nimekubaliana na mada yako
Bado mnabisha?Simba hakuna mjinga wa hivyo. Yaani Mchezaji aache kwenda Misri aende Tabora? Never.
😅 Wamejificha hutawaona leoBado mnabisha?
Majibu yameshapatikanaNgojeni nyuki wa Tabora watatupa majibu.
Tayari ninayo nyingi sana, Nikugawie?Tafuta pesa y kula
Achana na u-kabwili kutwa kucha
Timu za daraja la kati ni Enyimba, Al masry, 5imba, Stellenbosch nk. Huku kwa akina Al ahly, Mamelodi, Young africans, Al hilal hampawezi waachieni wakubwa!Hakika wewe ni utopolo,yaani upigwe 2-0 kwenu na al hilal klabu ya daraja la kati halafu useme uto ina quality na haikufuzu sababu ya kukosa bahati?