Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Wewe ni kilaza usiyejua chochote kuhusu soka,ndio maana popoma hupenda kuuliza chuo ulichosoma kabla ya kukujibu,umeacha hoja umerukia upuuzi baada ya kushindwa hoja,ni kilaza wa mpira asiyejua aina mbali mbali za CM,umeleta mambo ya namba,nimekujibu kupitia upuuzi wako wa namba,umerukia mambo usiyo na ufahamu nayo, ignore button inakuhusu mtu mwenye akili ndogo kama yako
Nimekudharau kumbe najisumbua kuelekea mbumbumbu mambo ya kiufundi ya football