Hakuna mchezaji wa Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga

Boka ana energy ya kupanda na kukurudi kukaba, ana skills zaidi ya Shabalala za kukaba
Ngoma mlinganishe na Aucho ndo wanacheza namba 6 wote
Hamza hawezi kumweka bench Job wala Bacca

Hapo Simba nitamchukua Kapombe
Na Balua binafsi huyu kijana namhusudu kipaji chake

Balua inatakiwa aje Yanga tumtoe Farid na Nkane
Ngoma ni box to box midfielder, ndio maana simba wakati mwingine nyuma yake anawwza kuwepo kagoma.. Ngoma akicheza 6 ni bora zaidi ya aucho, akicheza box to box bado ni bora zaidi ya aucho.
Huyo mudathiri anapokaa ngoma yeye hapaswi kukaa, ngoma kile kiumbe ni hatari, anakuoffer vitu vingi sana uwanjani
 
Ngoma hamfikii uweZo hata robo katika DM Kwa Aucho labda sijui ww mpira unautazama Kwa ushabiki

Katika ukanda huu wa CECAFA Aucho ndo DM Bora kabisa
Ngoma ni flopp tu hata box to box haiwezi wala hamfikii mudathir,
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ngoma hamfikii uweZo hata robo katika DM Kwa Aucho labda sijui ww mpira unautazama Kwa ushabiki

Katika ukanda huu wa CECAFA Aucho ndo DM Bora kabisa
Ngoma ni flopp tu hata box to box haiwezi wala hamfikii mudathir,
✅
 
Hahahaha unazidi kudhihirisha kwamba utopolo wenye akili ni wawili.
 
Simba ina wachezaji wengi wa kawaida, ipo nafasi yapili baada ya makosa mengi ya kibinadamu na marefa wengi ku aibika.
Azam alistahili kushika nafasi yapili kwenye msimamo.
Mbona huongelei magoli ya mkono yanayoiweka Yanga kileleni?
 
Hayo ya namba umeleta wewe ndio maana nimekujibu kama ulivyokuja, kwenye post yako umezungumzia timu za sasa au zamani?nimekwambia kama unazungumzia Simba ya sasa mlinganisho sahihi wa Aucho kama DM ni Kagoma ambaye naye anacheza DM,Ngoma hachezi DM na Simba haitumii DM wawili kama zamani,kwa sababu ulikuja ukitaja namba,Ngoma pale Simba anacheza no 8 na box to box,hata akiwa AS Vita alicheza box to box wakati DM wake alikuwa Nelson Munganga aliyepo Tabora United kwa sasa.Aucho anabadilika kulingana na timu,nimemwona akicheza Holding Midfield kama alivyo Mkude akiwa Tasker,hapo Yanga alipokuwepo Bangala alicheza box to box na pia The Cranes anacheza box,sasa hivi Yanga wanamtumia kama DM,Simba mwaka jana hawakuwa na DM wa asili hata mmoja ndio maana walikuwa wanastrugle.Hata sasa Yanga hawana DM wa asili kama walivyokuwa Bangala na Gift Mauya ndio maana kwenye mechi ngumu Yanga huwa wanastrugle sana asipokuwepo Max ambaye husaidia ukabaji.
Mechi Simba waliocheza Babakar Sarr, Mzamiru na Kanoute wakianza hapo Namba 6 alikuwa nani?
Hii mechi tunasema akitumia viungo wakabaji wengi Yan DM
Aucho ndo namba DM wa Yanga
Mudathir Huwa anacheza box to box Medfield
 
Hayo ya namba umeleta wewe ndio maana nimekujibu kama ulivyokuja, kwenye post yako umezungumzia timu za sasa au zamani?nimekwambia kama unazungumzia Simba ya sasa mlinganisho sahihi wa Aucho kama DM ni Kagoma ambaye naye anacheza DM,Ngoma hachezi DM na Simba haitumii DM wawili kama zamani,kwa sababu ulikuja ukitaja namba,Ngoma pale Simba anacheza no 8 na box to box,hata akiwa AS Vita alicheza box to box wakati DM wake alikuwa Nelson Munganga aliyepo Tabora United kwa sasa.Aucho anabadilika kulingana na timu,nimemwona akicheza Holding Midfield kama alivyo Mkude akiwa Tasker,hapo Yanga alipokuwepo Bangala alicheza box to box na pia The Cranes anacheza box,sasa hivi Yanga wanamtumia kama DM,Simba mwaka jana hawakuwa na DM wa asili hata mmoja ndio maana walikuwa wanastrugle.Hata sasa Yanga hawana DM wa asili kama walivyokuwa Bangala na Gift Mauya ndio maana kwenye mechi ngumu Yanga huwa wanastrugle sana asipokuwepo Max ambaye husaidia ukabaji.
Last season Simba alikuwepo Kanoute, Sarr, na Mzamiru unasemaje hawakuwa na DM

Aucho ndo DM wa Yanga nakubali
Ngoma ndo DM wa Simba kumbuka huyo Kagoma amecheza mechi mno na mechi alicheza Ngoma
 
Labda hufahamu DM ina maana gani,unaweza kucheza nafasi ya DM kwa sababa ya kutokuwepo mtu sahihi ambaye ni DM wakati wewe si DM.Wakati wa Lechantre Kapombe amewahi kucheza kama DM na wakati mwingine no 8 wakati yeye kiasili ni beki wa kati na kulia.Tukisema Man United wana DM mmoja tu ambaye ni Casemiro haina maana asipokuwepo mpira hauchezeki.Simba tangu kuondoka kwa Kotei,Fraga na Tadeo Lwanga haikuwahi kupata DM wa maana, ila haina maana nafasi hiyo haichezwi.Kagoma ndio chaguo la kwanza kwa Simba kwa sasa na ndiye anacheza DM,asipokuwepo DM anacheza Okejepha au Debora(ambao wote ni box to box).Ngoma msimu huu hajacheza DM labda msimu uliopita kutokana na kutokuwepo kwa DM wa asili,Simba walikuwa wanachezesha DM wawili,Babakar/Mzamiru na Ngoma kisha Kanoute anacheza mbele yao.Msimu huu kwa vile Simba wana DM wa asili ndio maana Ngoma amerudi kwenye no yake ya asili ndio maana anaitendea haki.
 
Back
Top Bottom