makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Sio kweli mzee, yule boka mwenye miguu kama ndege joni hamuwezi tshabalala,Hapa umbumbumbuni anayeweza kucheza Yanga kidogo ni Kapombe kutokana na majeruhi ya Yao
Wengine wote labda waanzie bench
Niambie una mudathiri na ngoma yupi unaanza nae..
Winger ya kushoto sababu utamtumia pacome basi mpanzu ataanzia nje ila tofauti na pacome hakuna wa kumuweka mpanzu nje..
Ukiwa na camara kisha una diarra itakubidi upige ana ana doo
Kibu anazidiwa vitu fulani na nzengeli, lakini ukimtoa nzengeli akaingia kibu mchakamchaka wake beki anaweza omba sabu
Huwezi kuanza na job, kisha yule hamza akae benchi ni big NO
Ni ahoua tu ambae hata uwanja wa mazoezini hapaswi kufika🤣
Ukisoma comment yangu, ungekuja na majibu tu kaka 🤣