Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
😃😃 Hakika atakuwa na magonjwa mtambukaUnabishana na mgonjwa huyo🤓🤓🤓
😃😃 Hakika atakuwa na magonjwa mtambukaUnabishana na mgonjwa huyo🤓🤓🤓
Ila hizo zote ulizozitaja kasoro Atletico Zina makombe ya UEFA kwenye makabati yao mkuuMan city, Liverpool, Ac Milan, Atletico Madrid hazifuzu robo final ya UEFA ila Aston Villa kafuzu yupo robo final ya UEFA
Mpira uko ivo sio kila wakati utapatia
Aston Villa isiyo kuwa na kombe la UEFA imefuzu, ndo kusema Aston Villa amezidi uweZo Manchester city, Liverpool, Ac Milan na Atletico MadridIla hizo zote ulizozitaja kasoro Atletico Zina makombe ya UEFA kwenye makabati yao mkuu
Nimekudharau kumbe najisumbua kuelekea mbumbumbu mambo ya kiufundi ya footballLabda hufahamu DM ina maana gani,unaweza kucheza nafasi ya DM kwa sababa ya kutokuwepo mtu sahihi ambaye ni DM wakati wewe si DM.Wakati wa Lechantre Kapombe amewahi kucheza kama DM na wakati mwingine no 8 wakati yeye kiasili ni beki wa kati na kulia.Tukisema Man United wana DM mmoja tu ambaye ni Casemiro haina maana asipokuwepo mpira hauchezeki.Simba tangu kuondoka kwa Kotei,Fraga na Tadeo Lwanga haikuwahi kupata DM wa maana, ila haina maana nafasi hiyo haichezwi.Kagoma ndio chaguo la kwanza kwa Simba kwa sasa na ndiye anacheza DM,asipokuwepo DM anacheza Okejepha au Debora(ambao wote ni box to box).Ngoma msimu huu hajacheza DM labda msimu uliopita kutokana na kutokuwepo kwa DM wa asili,Simba walikuwa wanachezesha DM wawili,Babakar/Mzamiru na Ngoma kisha Kanoute anacheza mbele yao.Msimu huu kwa vile Simba wana DM wa asili ndio maana Ngoma amerudi kwenye no yake ya asili ndio maana anaitendea haki.
KWani mc alger wanasemaje?Yanga ni team kubwa
Itakuwaje mchezaji wa shirikisho achezee Yanga
Kwa aston villa ni bahati tuAston Villa isiyo kuwa na kombe la UEFA imefuzu, ndo kusema Aston Villa amezidi uweZo Manchester city, Liverpool, Ac Milan na Atletico Madrid
Amini Sasa Kwa quality ya Young Africans kushindwa kufuzu ni bahati mbayaKwa aston villa ni bahati tu
Bahati mbaya Kila sikuAmini Sasa Kwa quality ya Young Africans kushindwa kufuzu ni bahati mbaya
Mwaka Jana nenda kawaulize MamelodBahati mbaya Kila siku
Hakika wewe ni utopolo,yaani upigwe 2-0 kwenu na al hilal klabu ya daraja la kati halafu useme uto ina quality na haikufuzu sababu ya kukosa bahati?Amini Sasa Kwa quality ya Young Africans kushindwa kufuzu ni bahati mbaya
Waulize 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 anaijua vizuri quality ya Young AfricansHakika wewe ni utopolo,yaani upigwe 2-0 kwenu na al hilal klabu ya daraja la kati halafu useme uto ina quality na haikufuzu sababu ya kukosa bahati?
Hakujawahi kuwa na timu yenye quality halafu inaishia makundi mashindano makubwa ,hiyo iwe ni world cup, afcon, cafcl, shirikisho,uefa ,ueropa yaani ukiona umeishia makundi ujue timu bovu.Waulize 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 anaijua vizuri quality ya Young Africans
Hujui mpiraHakujawahi kuwa na timu yenye quality halafu inaishia makundi mashindano makubwa ,hiyo iwe ni world cup, afcon, cafcl, shirikisho,uefa ,ueropa yaani ukiona umeishia makundi ujue timu bovu.
Imekuwaje bahati mbaya miaka nenda rudi iko pale pale kama kawa kwa chura kujimwambafu ndani ya dimbwi la maji taka 🐸🐸Amini Sasa Kwa quality ya Young Africans kushindwa kufuzu ni bahati mbaya
Waulize 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5Imekuwaje bahati mbaya miaka nenda rudi iko pale pale kama kawa kwa chura kujimwambafu ndani ya dimbwi la maji taka 🐸🐸
2025-1935=90 huu ni umri wa kibabu chenye laana ya bahati mbaya toka ujanani hadi uzeeni.
Tafuta hoja nyingine ya kuipamba timu mbovu ya enzi na enzi, weka kando neno 'bahati mbaya'
Hizo mara nne mlizomfunga Simba ziliwafikisha wapi?Waulize 5imba alofungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Tumekuwa mabingwa mara 30,Hizo mara nne mlizomfunga Simba ziliwafikisha wapi?
Mabingwa wa mbuzi cupTumekuwa mabingwa mara 30,
Bingwa wa ligi ambayo 5imba inashirikiMabingwa wa mbuzi cup