MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Pole mrembo mbumbumbuUtopolo hamponi tyuh? Hii sasa sio Malaria, ni Cancer. Lol
Poleeeni, πππππ
Dosage imeisha na homa bado inasumbua, poleeePole mrembo mbumbumbu
Tafuta pesa y kulaNiambie hapo unamtoa nani unamuingiza nani? Debora? Mzee wa Konyagi? Kitale? Mikwala? Ataiba?
Mpanzi? Ifike hatua tuwe na heshima na Soka.
View attachment 3289146
Huyo ni zaidi ya mgonjwaDosage imeisha na homa bado inasumbua, poleee
Kufungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 kinauma zaidi ya kuchomwa msumari wa moto kwenye unyayoDosage imeisha na homa bado inasumbua, poleee
Kwa kweli πππππHuyo ni zaidi ya mgonjwa
Wachezaji wa simba wamesajiliwa kuendana na mahitaji ya kocha 95%,kwa yanga alietengeneza kikosi ni Nabi kwa sasa ni chemistry ya wachezaji ndio inabeba timu,kwa simba mbinu za kocha 99% ndio zinawabeba,hivyo huwezi linganisha hizo timu 2 kwa sasa.Niambie hapo unamtoa nani unamuingiza nani? Debora? Mzee wa Konyagi? Kitale? Mikwala? Ataiba?
Mpanzi? Ifike hatua tuwe na heshima na Soka.
View attachment 3289146
Na bado unateseka wee mwenyewe, hustukii?Kufungwa mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 kinauma zaidi ya kuchomwa msumari wa moto kwenye unyayo
Hakuna mchezaji pale, Kagera sugar wako vizuri zaidi ni vile tu makosa ya kibinadamu yanawabebaWachezaji wa simba wamesajiliwa kuendana na mahitaji ya kocha 95%,kwa yanga alietengeneza kikosi ni Nabi kwa sasa ni chemistry ya wachezaji ndio inabeba timu,kwa simba mbinu za kocha 99% ndio zinawabeba,hivyo huwezi linganisha hizo timu 2 kwa sasa.
Hahahaaa! Tusubiri mwisho wa msimu isijekuwa kama ya:-Niambie hapo unamtoa nani unamuingiza nani? Debora? Mzee wa Konyagi? Kitale? Mikwala? Ataiba?
Mpanzi? Ifike hatua tuwe na heshima na Soka.
View attachment 3289146
Hapa umbumbumbuni anayeweza kucheza Yanga kidogo ni Kapombe kutokana na majeruhi ya YaoNi kweli yanga wazuri sana, lakini mtu kama tshabalala anakosaje namba yanga!? Kuna beki 2 bora kuliko kabeer, hapana, japo kabia uwezo umepungua lakini ni bora zaidi, camara na diarra uwezo ni sawa kwa asilimia kubwa, ngoma anacheza, siwezi anza na mudathir nikamuacha ngoma, labda niambiwe mudathir anamzidi nini ngoma uwanjani..
Mpanzu, kibu Dennis wanaweza kuanzia benchi..
Kibu atakosa nafasi sababu ya nzengeli, kuna vitu vichache kibu anakosa ila ni mbadala mzuri ama sub nzuri.
Mpanzu kama winga halisi wa kushoto basi anapaswa kuanza, yanga wana winga halisi wa kushoto mzuri level ya Mpanzu, sidhani labda nitajiwe..
Ile cntre back, nani nani HAMZA yule ni mtu haswa anaweza kuzima yanga, iwe kikosi cha kwanza ama kutokea sub, yule anaweza kumuweka benchi nob na kusiwe na malalamiko.
Hizi takataka ahoua, mukwala, ateba haziwezi kupata namba