Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Rais Volodymyr Zelensky ametoa maoni yake kuhusu matamshi ya Vladimir Putin kwamba jeshi la Urusi linadaiwa kuharibu mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Patriot ya Ukraine iliyotolewa kwa Kiev na nchi za Magharibi. Alitoa kauli kuhusu hili wakati wa hotuba yake ya kila siku.
‘Haijalishi ni nani huko Urusi alisema kwamba eti Patriots zetu ziliangamizwa, zote zipo, zote zinafanya kazi, zote zinarusha makombora hadi Urusi. Hakuna hata "Patriot " moja iliyoangamizwa!
Wakati wa kongamano la kiuchumi huko St.PetersburgPutin alisema- ‘Iwapo tuliharibu mitambo mitano ya mfumo wa Patriot karibu na Kievbasi kwa nini tuharibu jingo lolote kati kati mwa Kiev? Hakuna vikwazo kama hivyo. Tumefanya hivyo kwa sababu kadhaa’
Source:BBC