Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Tuwekee hapa Putin akisema ataichukua ukraine ndabi ya siku 3!Huyu babako Putin si alidai angeichukua Kyv kwa muda wa siku 3 na Zenensky asingebaki kuwa raisi wa Ukraine?mipango yake imeishia wapi?
Toka mwaka jana,tuliweka zawadi humu kwa yoyote atakayeleta source ya habari au video inayoonesha Putin akisema hayo ila hakuna aliyeleta!
So hizo porojo zako ni za kujifariji tu!