Tuwekee hapa Putin akisema ataichukua ukraine ndabi ya siku 3!Huyu babako Putin si alidai angeichukua Kyv kwa muda wa siku 3 na Zenensky asingebaki kuwa raisi wa Ukraine?mipango yake imeishia wapi?
Vijiji nane tayari mvamizi kafurushwa mpaka sasa kwa wiki hizi chache.Sie lengo letu siyo Kiev, mkuu. Ukraine ni ndogo sana kwetu. Tunaitaka Marekani na NATO yote ili adabu iwakaeni.
Hivi kuhusu maendeleo ya counteroffensive mmefikia wapi? Tuanzie hapo kwanza (nijibu japo kwa asilimia).
Wasomi wa bongo ni Makanjanja, Makanjanja kweli kweli. Mnataka mpewe kuongoza Bandari ilhali vichwani ni weupe kabisa.Wenye mifumo wenyewe walikiri kuharibiwa Kwa mifumo.
Kama wamevamiwa ulitegemea wafanyaje Urusi ndio ameamua UKRAINE wawe majaribio ya silaha kwa kuivamiaWatu wa Ukraine wameamua nchi yao iwe ya majaribio ya siraha
Kaivamieni Marekani sasa au NATO yenyewe sio kuivamia Ukraine halafu mnapiga makelele mitandaoni eti tunapigana na NATO kwani Ukraine ni NATO?Sie lengo letu siyo Kiev, mkuu. Ukraine ni ndogo sana kwetu. Tunaitaka Marekani na NATO yote ili adabu iwakaeni.
Hivi kuhusu maendeleo ya counteroffensive mmefikia wapi? Tuanzie hapo kwanza (nijibu japo kwa asilimia).
Kama mmemshindwa Ukraine marekan ndo mtamuweza? Mazezeta kweli nyie [emoji23][emoji23][emoji23]Sie lengo letu siyo Kiev, mkuu. Ukraine ni ndogo sana kwetu. Tunaitaka Marekani na NATO yote ili adabu iwakaeni.
Hivi kuhusu maendeleo ya counteroffensive mmefikia wapi? Tuanzie hapo kwanza (nijibu japo kwa asilimia).
Urusi wanaendeshwa na propaganda sana huku wanajeshi wao wakitilifika maelfu kwa maelfu, Putin ata hajaliTuwekee hapa Putin akisema ataichukua ukraine ndabi ya siku 3!
Toka mwaka jana,tuliweka zawadi humu kwa yoyote atakayeleta source ya habari au video inayoonesha Putin akisema hayo ila hakuna aliyeleta!
So hizo porojo zako ni za kujifariji tu!
Hujui kama Urusi karudisha chenchi?Sie lengo letu siyo Kiev, mkuu. Ukraine ni ndogo sana kwetu. Tunaitaka Marekani na NATO yote ili adabu iwakaeni.
Hivi kuhusu maendeleo ya counteroffensive mmefikia wapi? Tuanzie hapo kwanza (nijibu japo kwa asilimia).
Hii counter offensive itamtia wazimu huyu Mzee Vladmir...Nafikiri Putin huwa anadanganywa sana na washauri Wake.Sawasawa aliambiwa Hypersonic missiles zake hakuna radar inaweza kuziona na kuzidungua, matokeo yake zote zikadunguliwa huko Kyv na kuishia kuwaweka ndani wanasayansi wake!
Leta ushahidi hapa sio kupigapiga maneno!Urusi wanaendeshwa na propaganda sana huku wanajeshi wao wakitilifika maelfu kwa maelfu, Putin ata hajali
Si unajua tena masuala ya biashara - Amerika itafanya lolote lile ili kuhakikisha soko lake la silaha sifa zake hata za kutunga kuihadaa Dunia kwamna silaha zao ndio bora zaidi - watafanya hivyo no matter what, chukuliamfano huu ea Zelensky kuja kwenye mkutano baada ya wiki tatu kupita na kudai adhalani kwamba hakuna Patriot hata moja imetiwa kiberiti wakati Dunia ilishuhudia kilichotokea hata baadhi ya majenerali wa USA walikiri ukwelio huo - leo hii Zelensky kutokana na shinikizo la US Administration anakuja hapa na ku- Deny everything, anafikri watu hawana akili ya kujua kinacho endelea nyuma ya pazia.Wenye mifumo wenyewe walikiri kuharibiwa Kwa mifumo.
Nafikiri wewe unajifariji weka ushahidi!Biden mwenyewe kakiri na ameahidi kufidia kilichoharibika. Kwa hiyo wanajipa raha kwa Maneno ya faraja ijapokuwa propaganda
Ameshatudanganya mara ngapi huyu.View attachment 2661974
Rais Volodymyr Zelensky ametoa maoni yake kuhusu matamshi ya Vladimir Putin kwamba jeshi la Urusi linadaiwa kuharibu mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Patriot ya Ukraine iliyotolewa kwa Kiev na nchi za Magharibi. Alitoa kauli kuhusu hili wakati wa hotuba yake ya kila siku.
‘Haijalishi ni nani huko Urusi alisema kwamba eti Patriots zetu ziliangamizwa, zote zipo, zote zinafanya kazi, zote zinarusha makombora hadi Urusi. Hakuna hata "Patriot " moja iliyoangamizwa!
Wakati wa kongamano la kiuchumi huko St.PetersburgPutin alisema- ‘Iwapo tuliharibu mitambo mitano ya mfumo wa Patriot karibu na Kievbasi kwa nini tuharibu jingo lolote kati kati mwa Kiev? Hakuna vikwazo kama hivyo. Tumefanya hivyo kwa sababu kadhaa’
Source:BBC
Wakati uvamizi unaanza majeshi ya Russia yalitinga hadi Kyiv na Russia walitoa hadi masaa jeshi la Ukraine lisarende, sasa tuambie Kyiv kuna nani? kwanini Urusi walichomoa faster Kyiv? lete sababu japo mstari 1Leta ushahidi hapa sio kupigapiga maneno!
Haujaona waraka aliouonesha Putin kwa viongozi wa Africa?Sababu ya kuondoa majeshi kyiv kumbe ni mkataba walioingia pande zote mbili chini ya usimamizi wa rais wa Uturuki!Wakati uvamizi unaanza majeshi ya Russia yalitinga hadi Kyiv na Russia walitoa hadi masaa jeshi la Ukraine lisarende, sasa tuambie Kyiv kuna nani? kwanini Urusi walichomoa faster Kyiv? lete sababu japo mstari 1