Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

Hizi ndio nyuzi ambazo Kina Zemanda na Natafuta Ajira hawapendi kuzionaa
Hizi ndizo nyuzi ambazo nazitaka na usisite kunitag kila unapoziona, kwa sababu mimi nipo hapa kwa ajiri ya kuwaokoa masimp kama huyu mleta mada, mimi ni kama dokta hospitali nipo kwa ajiri ya kutibu wagonjwa sasa kusipokua na wagonjwa hakutakua na uhitaji wangu tena
 
Yeye; "Baby ni kweli nilikuomba hela ila sikua serious,nilikua nakupima tu kama unanipenda kweli''

Mimi "Hata Mimi baby,sio kweli kua nilikunyima hela,bali nilikua nakupima tu uvumilivu wako kwangu''

Ubao unasoma,

1-1
Half Time.
 
kuna muda unakuta mtu ana shida ngumu kweli kweli unaona huruma

tunasaidia kadri ya uwezo wetu, tatizo uwezo wetu ni mdogo sisi maskini

ni sawa tu nyie matajiri endeleeni kufaidi

ila maskini akiendekeza 'kuhudumia' atalala njaa
 
🌷🌷🌷Maua yako
 
Mtoa mada yuko sahihi tafuta pesa acha kuwapangia wanaume wenzako namna ya kutumia za kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…