Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Ukabila mno yaan mnakaa vikao mnapanga namna makazi yapaswa yapangiliwe halafu wanaongea kinafiki et huyu ni mzaliwa wa wapi wakijua sio mbeya yaani hawakubali wanaanza chokochoko za hapa na pale na hii imepelekea at mji wao kuwa wa hovyo Tanzania nzima uchafu Kila upande,,hawasikii kipind sugu yupo at mkiwambia mipango ya kujenga hawataki kuelewa wanaandamana ovyo kutetea ujinga wanaotaka wao
Now wameamka wanataka huduma Bora...
 
Tatizo hawashauriki ni wabishi balaa ukiwapa mkakati positive wako tayr wakuvamie usku wakuue,, usiombe uajiriwe mbeya katika KAZI znazohusiana na maswala ya mipango usiporud marehemu bas utakimbia
 
Kama hujapapenda mbna upo mpaka Sasa dodoma? Unajua akili Yako haiko sawa imebunguliwa sana sana unawezaje kuishi sehemu huitaki Kwan ew jiwe kwamba adi ung'olewe Ndo utoke,,

Jibu ni kwamba DODOMA usifananishe na mashambani huko mbeya ni kulima na kujenga majiji kama

DOM
DAR
MWZ
ARUSH
 
Acha uwongo wako wewe huu mji haujapangiliwa kitambo sio jana wala juzi. Wakati wewe unalalia ngozi huko shambani kwenu
 
Hivi Mbeya ni Jiji?
Ukitoa kabwe na Mwanjelewa Kuna jengine Mbeya?

Sehemu ya kwenda kumaliza hela ni kulekule Mbeya carnival, Mbeya pazuri yaani HIVI MBEYA NI JIJI?

NJOO DAR NIKUJIBU MAANA YA JIJI.

#YNWA
Kwahiyo kigezo kwako cha jiji ni sehemu za kunywea zikiwa nyingi washamba bwana kazi sana
 
Kwahiyo kigezo kwako cha jiji ni sehemu za kunywea zikiwa nyingi washamba bwana kazi sana

Unaweza kupunguza negative worlds then ukajibu swali.

""Ukitoa kabwe na Mwanjelewa Kuna jengine Mbeya?""

#YNWA
 
Yani kumbe stamina alinidanganya jamaa yule, dah. Alinambia kwao ni moro mbwa yule.
 
Afu inaonesha huna taarifa kabisa juu ya kinachoendelea mgodi wa makaa ya mawe wa kiwira.
 
Hivi Mbeya ni Jiji?
Ukitoa kabwe na Mwanjelewa Kuna jengine Mbeya?

Sehemu ya kwenda kumaliza hela ni kulekule Mbeya carnival, Mbeya pazuri yaani HIVI MBEYA NI JIJI?

NJOO DAR NIKUJIBU MAANA YA JIJI.

#YNWA
Wewe unaonaje Mkuu? Jiji ni nini?
 
Unasema Dodoma itaizidi Mbeya muda si mrefu? Hivi Dodoma mji mzuri vile unauringanishaje na Mbeya?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Acha uwongo wako wewe huu mji haujapangiliwa kitambo sio jana wala juzi. Wakati wewe unalalia ngozi huko shambani kwenu
Mbna at hujaeleweka Kwan Kuna sehemu nmesema tuliupanga au mbeya imekuwa Jiji mwaka Gani?

Si Ndo lile la nipeni kura nitangaze mji wenu kuwa jiji
 
Nimemshangaa Sana.

Mbarali ipi anayoisema?

Mbarali yenye Ubaruku, Rujewa, Igawa, Chimala , Igurusi , Mswiswi?

Mbarali kwenye mpunga na madili ya Petrol na diesel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…