Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Nimemshangaa Sana.

Mbarali ipi anayoisema?

Mbarali yenye Ubaruku, Rujewa, Igawa, Chimala , Igurusi , Mswiswi?

Mbarali kwenye mpunga na madili ya Petrol na diesel?
Achana nao Mkuu,hao ni wale haters wanaosimuliana ujinga vijiweni.

Kwa mapato baada ya Jiji la Mbeya,next ni Mbarali DC.
 
Wewe ni wa ajabu,, Mbeya ni miongoni mwa Mikoa inayopendwa Sana na watumishi
 
Wewe kwenu wapi
 
Tanzania napatikana
Wewe unaonekana NI msukuma,, ukabila upo kwenye damu ya msukuma ndio maana Una chuki Sana na watu wa Mbeya ambao ni wasomi , wanajitambua na Wana maisha mazuri.

Zaid ya kukazania mji kutopangwa mmeizid nin kingine Mbeya?

Mnaanza kusema Mbeya hakuna hela , hiv mna akili nyie? Mbeya matajir Hadi vijijin
 
Maisha Gani mazuri Kwa mfano waliyonayo usichekeshe
 
Kuna mahali kuna baridi kuliko Mufindi, Makambako, Katesh, Ilboru, Marangu?, mbona wale sio wamama huruma?.
P
Nafikiri muunganiko wa hali nzuri ya hewa na gharama ndogo za maisha vinafanya mwanamke yeyote yule anayeishi Mbeya, awe mwenyeji au mgeni kutokuwa "mchoyo".
Hata wanyama huzaliana sana mahala penye amani na chakula kingi.
Kwako ndugu Pascal Mayalla
 
Nafikiri muunganiko wa hali nzuri ya hewa na gharama ndogo za maisha vinafanya mwanamke yeyote yule anayeishi Mbeya, awe mwenyeji au mgeni kutokuwa "mchoyo".
Hata wanyama huzaliana sana mahala penye amani na chakula kingi.
Kwako ndugu Pascal Mayalla
Pascal Mayalla ni mnafiki. Nchi hii hakuna wanawake Malaya Kama wanawake wa Kanda ya ziwa
 
Yote tisa kumi Mbeya kuna misosi bei chee huwezi konda Mbeya kwa maisha yetu sisi wasakatonge na watafutaji.
Ndio maana Mbeya hamna Utapiamlo wala Udumavu kwa watoto uliokithiri kama Rukwa,misosi ni mingi mno iwe jamii ya mizizi, mbogamboga, matunda kibao mengi na bei chee,maji mazuri hayapaushi iwe nguo au mwili,nyama za kiwango sijui Ng'ombe wao wanakula nini wale jamaa.
Ardhi ya mkoa ule umebarikiwa kiukweli. Nitarudi Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…