Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Mkuu, sioni tofauti kubwa sana ya ujenzi holela baina ya Mbeya na Mwanza.
Kama ilivyo Mbeya, Mwanza ina maeneo mengi ambayo mpangilio wake ni holela.
Hawa gen z ndo wanajenga holela,mwanza master plan ni nzuri,ukiwa mitaa nyegezi ndani huko ni hovyo kabisa
 
Viwanda viko kiasi ni kweli,lakini Iringa nako sii haba,Mafinga na mufindi kwa ujumla is a hot topic ingawa vina roho mbaya
 
Mimi naamini in hard work,naunga mkono mbeya sababu ya hard work,uchuuzi tuwaachie DP.world
 
Umeanza vizuri ndugu P, ila umekuja kuharibu hapo kwenye "wanawake wa Mbeya sio wachoyo". Jiji la Mbeya lina mkusanyiko wa wanawake kutoka mikoa mbalimbali.
Mi nadhani hali ya hewa ya baridi ndio hufanya wanawake wengi wa huko kutokuwa "wachoyo".
Wanaongoza kukosa ni Njombe
 
Nimeishi Mbeya almost 5 yrs ..pabovu mno hapo mjini..hufeel raha ya kuwa ni mji..slums kote
It depends,huo mji masika watu wanaenda shamba mjini wanarudi kiangazi ,sasa jipange uwe una hang uzunguni na soweto,na uyole in fact Arusha ni nzuri for hang out,Dar es salaam ni fujo muda wote. Mbeya Hata maeneo ya forest yako bomba hakuna slum sana.na forest mpya.
 
Mbeya ndio kijiji kikubwa Afrika Mashariki
Muwe na tabia ya kuridhika,Forest mpya Iko poa,uzunguni ni poa sana for hiking,an the like,ukienda soweto pia kuko poa,jitahidi kutafuta vibe,mnaita mbeya Kijiji kwa kuringanisha na wapi,ondoa uwekezaji wa serikali DSM na Dodoma zina nini hapo,reform ya miji haiko vizuri.Mwanza inavurugwa kila Kona sasa hivi ndivyo tulivyo,Ukienda uyole.njia ya tukuyu nako kuko poa sana you can hang out,Raha itafute usifuate mkumbo.
 
Mimi napenda forest mpya ya zamani uzunguni na uyole yote,kwa kifupi Sina baya,hata makunguru Kuna vibe flani hivi
 
Kwa Mbeya mjini hapana mkuu.Danganya wasiofika.
1.Poor Infrastructures,barabara za mitaaniu ni vumbi&giza
Hata taa za mitaani shida..
Soko changamoto
(Sijaona cha maana pale Mwanjelwa,Kabwe & Soweto)
Stand za bus mjini na nanenane ni aibu,hakuna majengo ya maana ya stendi kama zilivyo Msamvu Terminal,Magufuli Terminal,Dodoma(88) Terminal etc
2.Poor housings etc
Labda pembezoni huko.
Vijumba vingiii kuliko nyumba za maana.
Isipokuwa taasisi tu
NB;
Kwa hali ya hewa ni pazuri✓
Utalii wa mandhari asilia✓
Hoteli Nzuri ×
Wingi wa watu✓
Vyakula✓
Nahisi mlivyomkwaza jiwe kipindi kile, aliamua kuwatelekeza kimiundombinu😅😅
Nashauri utembelee mikoa mingine.
 
Halafu nilisahau kuwauliza watu wa Mbeya,
Vipi mbususu za huko?
Bei zao ni elekezi
Pia pisi za huko ni kali au ni mbegu fupi kama za kule kwa kina nanihii?
Dsm ni mchanganyiko wa kaskazini na Kanda ya ziwe,in fact DSM ni cream ya nchi,Mbeye walioharibu ni wavamizi wameleta vipimbi vingi mno
 
Mbeya hawana international school hata moja, st francis ni shule bora tu lakini si shule ya kimataifa.
Kumbuka haya malalamiko ya ubora wa nchi ni ya kote,na huu ni wakati wa mpito,tujitahidi kujenga nchi mafisadi wasifixhe pesa Switzerland
 
Daraja zuri lakini angalia background hapo hizo nyumba za tope kila mahali, na hapo ndio maeneo yenu ya kula bata, kutwa nzima kukesha kwenye makanisa na mambo ya kishirikina na kupiga umbeya kama jina la mkoa wenu.
Duuu,kitombile hasira zote za nini
 
😅😅😂😂🤣🤣 atakuja mtu hapa aseme MBEYA NI LIKIJIJI LIKUBWA LILILO CHANGAMKA"🏃🏃🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…