Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Nimeishi Arusha, Mwanza, Dar es Salaam, Mbeya, Njombe, Morogoro na kupita mikoa mingi ya nchi hii, mie japo si wa Morogoro, mkoa mzuri kwa mtu kuishi ni Morogoro. Maisha yangu yaliyobakia nitamalizia huko.
 
Msimu wa kiangazi vumbi jingi sana mnatembea mmekaza meno huku mmefumba macho kama mnafinywa
Mkuu,Hii ni mbeya ya mwaka gani unayoiongelea wewe...

Kama ulienda mpuguso,kule sio mbeya mjini am sorry
 
Ingekuwa Vijana wanaoanza maisha ya Utumishi ingekuwa wanaruhisiwa kuchagua Mkoa, ningewashauri waanze na huo.

Maisha ni Cheap sana Mbeya, mara ya kwanza nafika nakutana na Chips za shilingi 500 ambazo nilishindwa kuzimaliza

Ukiwa na shilingi laki 1 inatosha kula Mwezi Mzima
Huu sio mzuri wa kuanzia sababu ukihama utapata tabu sana mbeya maisha rahisi sana
 
Msimu wa kiangazi vumbi jingi sana mnatembea mmekaza meno huku mmefumba macho kama mnafinywa
Acha uongo basi,Mji umejaa miti Hilo vumbi linatumika wapi? Mbeya sio Shinyanga ni green City.
 
Tatizo kubwa la Mbeya ni ujenzi holela na nyumba zenyewe sasa...khaaa!
Ujenzi holela is all over Tanzania not only in Mbeya..

Mabanda yale Yako Mwanza ni sawa na Mbeya? Mbeya is way better na sio mitaa yote ni baadhi tuu.
that_mbeya_guy_1679744755128476.jpg
20221125_083948.jpg
 
Huu sio mzuri wa kuanzia sababu ukihama utapata tabu sana mbeya maisha rahisi sana
Hayo maisha marahisi ni yanakuaje? Mbona Dar mabanda ya 30,000 Kwa mwezi yapo,Ukiwa na buku 2 unapata mseto wa matunda na unakunywa chai saafi kabisa.

Kwamba Mbeya chapati ni mia Moja ila Dar ni 300 au? 😀😀😁😁.
 
Wewe ni mwenyeji wa Mbeya?

Ni jiji gani Tanzania hapa ushawahi ona lina nyumba za udongo kama si Mbeya?
Sio tuu nyumba za udongo Bali hapo Dar,Mwanza,Dom ,Arusha huko nyumba ni za mabanda ya mabati.

Arusha hapo wanaweka miti na kusiliba udongo then wanapiga plasta,the same to Dodoma.

Dar ndio kabisaa watu wanaishi kwenye madampo.

Mwisho kuhusu Mbeya ni kwamba udongo wake ni kama Saruji ukichoma zile tofali unapunguza ubora so una option ya kujengea mbichi au blocks..

Mwisho umewahi kuona zimevunjika? Umewahi sikia nyumba zimepotomoka? Acheni kukariri maisha na vitu msivyovijua Kila kitu Kiko determined na nature na huo ndio uzuri na upekee wa Mbeya.

I love Mbeya.
 
Nimeishi Mbeya almost 5 yrs ..pabovu mno hapo mjini..hufeel raha ya kuwa ni mji..slums kote
Huna hoja unapayuka tuu ilimradi kukidhi your hate..
Mbeya haifananishwi na Mkoa wowote Kwa uzuri wa Kila kitu hapa Tanzania.

Suala la kuishi miaka mingapi Wala sio dili ,mbona Mimi naishi Dodoma mwaka wa 6 huu na sijapapenda? Niliiehi Dar miaka 3 sikupapenda?
 
Back
Top Bottom