Tumbusi
Member
- Jun 19, 2022
- 73
- 159
Umeanza vizuri ndugu P, ila umekuja kuharibu hapo kwenye "wanawake wa Mbeya sio wachoyo". Jiji la Mbeya lina mkusanyiko wa wanawake kutoka mikoa mbalimbali.Nikweli na naunga mkono hoja
Mchele wa Mbeya, Super Kyela ndio mchele wa grade 1.
Maharage ya Mbeya ndio maharage yanayoongoza kwa ulaini, kuyapika hadi yaive maji ni mara moja tuu!. Tena maharage yenyewe ya Mbeya, sio tuu ni maji mara moja bali pia ni matamu hayo!.
Kuna ubaya mmoja wa watu wa Mbeya hukuusema, hawana kabah, as a result watu wasio na kabah wanaitwa Wambeya na wanapenda umbea!.
Na kuna uzuri mmoja wa wanawake wa Mbeya, sio wachoyo, wana roho mzuri na kwenye yale mambo yetu yale, ni kama maharage ya Mbeya, maji mara moja!.
Na kwenye siasa, siasa za Mbeya ni very interesting, kwenye ubunge wa Mbeya mjini, nimewahi kuuliza "Maharage ya Mbeya maji mara moja" ni kauli ya kweli? Ni kwenye maharage tu au hadi kwa wanambeya? Kama kauli huumba, Jibu sahihi ni Oktoba 2020!
P
Mi nadhani hali ya hewa ya baridi ndio hufanya wanawake wengi wa huko kutokuwa "wachoyo".