Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Mwisho kuhusu Mbeya ni kwamba udongo wake ni kama Saruji ukichoma zile tofali unapunguza ubora so una option ya kujengea mbichi au blocks..

Mkuu ujenzi wa tofali za kuchoma kwa Mbeya mjini umekuja baadaye sana, mimi mwenyewe nimeishi sana tu kwenye hizo nyumba za tofali tope...

Nonde, Simike,Sinde, Nzovwe, Mbalizi, Makunguru, Ilomba, Uyole na hata miji mipya kama Nsalaga huku kote nyumba zilizopo ni za matofali ya matope yale...

Kuna miaka serikali ya mkoa ilipitisha amri ya ujenzi wa tofali za kuchoma, ndio walau afadhali watu wakaanza choma matanuru ya tofali na kwa waliokuwa na nyumba tayari, wakaambiwa wapige "lipu"...

Mwisho umewahi kuona zimevunjika? Umewahi sikia nyumba zimepotomoka? Acheni kukariri maisha na vitu msivyovijua Kila kitu Kiko determined na nature na huo ndio uzuri na upekee wa Mbeya

Haziwezi vunjika kwa sababu zinajengwa vizuri, isipokuwa zinaharibu muonekano wa mji kwa namna zilivyo...Hazivutii machoni...
 
Ujenzi holela umesababishwa na Serikali.

Ilipaswa panga makazi tokea ilipopata uhuru

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Pia wana ukarimu sana dada zao.
Huhitaji maneno mengi kama wataka shinda udiwani.

Upishi wa chakula Mbeya na ukanda wote huo ni 0



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuishi umeona Zina shida gani? Kama wewe ni WA Mbeya tofali mbichi na zilizochomwa zipi ngumu?
 
Tupo wengi ukichukua wastani Lazima tuoneka tupo Chini.

By the way kipenda Roho
hula myama mbichi. Ila Tanzania ni mikoa niliyokutajia Kwa huduma za uhakika
Kwahiyo mpo wengi kushinda dar ama sielewi. Mbeya pana pesa sana labda kama ulikuja na biashara yako ya kuuza senene.
 
Kwahiyo mpo wengi kushinda dar ama sielewi. Mbeya pana pesa sana labda kama ulikuja na biashara yako ya kuuza senene.
Kwanza hao wanaojisemesha ni aidha wanasimuliwa au waliishi miaka hiyo.
sijui inakuaje mtu anashindwa kuelewa kwamba Miji inakua na shughuli zinaongezeka za Kila aina..

Mbeya mjini plus Mbalizi inaleta jumla ya watu 650,000 Hawa watu sio wachache Kwa mjini hapo Bado mawilaya nk.
 
Niliaminigi maneno ya wanyakyusa nikaenda uko 2009 nilikutana vumbi kama poda kipindi hichi watu wanakula nondo za utosi saa moja jioni wote ndani ukitaka kwenda hata dukani inabidi uvae helmet kulinda fuvu
[emoji1787] nimecheka kwenye kulinda fuvu[emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo umeamua kutupangia shuguli ya kufanya wanambeya. Haya sasa wanambeya tumeamua kulima tu tunatoa tani na tani kila siku za mazao ya kilimo eheee mwanza mnafanya nini
 
Baridi na HIV ni balaa huko.Sipapendi Mbeya.Pachafu na wale Nguruwe wanaozurura kila kona hapana aisee.Bora nikaishi Kigoma kuliko Mbeya.
Wewe utakua ni mkimbizi tu unatuzuga hakuna mahali pazuri kama mbeya apa nimelala zangu kaubaridi safi niamke niende soweto mchana nikagonge kitimoto
 
Wewe ni mwenyeji wa Mbeya?

Ni jiji gani Tanzania hapa ushawahi ona lina nyumba za udongo kama si Mbeya?
Arusha kimandolu kijenge juu chini ungalimited na kwingineko hata dar kariakoo kuna nyumba za udongo we umezaliwa kahama ukakulia kahama huwezi yajua haya
 
Na mbeya inajengwa na wanambeya ukiona magorofa hakuna la muhindi wala mwarabu na ya taasisi za serikari ni machache sana. Hotel za mbeya zinamilikiwa na wanambeya huyo yeye alikuja kua dalali mbeya akapaogopa
 

Kama vile Manzese,Vingunguti,Buguruni,Kwa Mnyamani au Mbagala??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…