Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Arusha kimandolu kijenge juu chini ungalimited na kwingineko hata dar kariakoo kuna nyumba za udongo we umezaliwa kahama ukakulia kahama huwezi yajua haya

Sawa ndomyana, jina lako tu linaonesha ni mrugaruga wa kama sio Ileje basi Kyela ndani ndani huko...

Hongera kwako wewe uliyezaliwa huko kote ulikokutaja...
 
Mbeya mjini ni kweli kwenye kupanga mji wapo nyuma. Japo hili ni tatizo la nchi yote. Songea imepangwa vizuri kuliko Mbeya.

Uzuri wa Mbeya, tofauti na mikoa mingine ni hakuna wilaya masikini hohehahe. Kila wilaya utayoenda utakuta shughuli zinaendelea, nyumba nzuri na pesa inaonekana. Mikoa mingine ukitoka makao makuu kungine ni vituko.
 
Yas ni mlugaluga wa rungwe kaka mbeya moja hii. Nimekutajia maeneo nilioishi na kuona nyumba za udongo majiji makubwa. We endelea kukalili mjini kwenu kagongwa nyuma kahama
Sawa ndomyana, jina lako tu linaonesha ni mrugaruga wa kama sio Ileje basi Kyela ndani ndani huko...

Hongera kwako wewe uliyezaliwa huko kote ulikokutaja...
A
 
Back
Top Bottom