Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Takwimu hizo umezitoa wapi? Yaani Mbeya kuna unyafuzi watoto. Ficha chuki zako dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takwimu hizo umezitoa wapi? Yaani Mbeya kuna unyafuzi watoto. Ficha chuki zako dada
Duh.!Niliaminigi maneno ya Wanyakyusa nikaenda huko 2009 nilikutana vumbi kama poda kipindi hiki watu wanakula nondo za utosi, saa moja jioni wote ndani ukitaka kwenda hata dukani inabidi uvae helmet kulinda fuvu.
Hizo pisi zimekaa kama wanaume ukijichanganya zinaweka kukugonga ngumi, juu wana miili mikubwa lakini chini wapo kama mandonga.Halafu nilisahau kuwauliza watu wa Mbeya,
Vipi mbususu za huko?
Bei zao ni elekezi
Pia pisi za huko ni kali au ni mbegu fupi kama za kule kwa kina nanihii?
Mimi mzaliwa wa mbeya naishi mbeya nimejenga mbeya nafanya kazi mbeya nafanya biashara mbeya sijui utanieleza kitu gani kuhusu mneya na wilaya zake kata mpaka vijiji. Nina mahati ya kutembea na kuishi karibia majiji yote na mijij mingi tz hii na hua nazunguka nchi nzima sijafika bukoba na kigoma tu sasa ukiniletea story kuhusu hii tz na miji take ntakushangaaUhindini kna nn Sasa Bora na isyesye yaan ukisikia jina utakurupka fika Sasa uoneshwe hapa Ndo uhindini utachoka mwili akili na roho
Nl
Inategemea umefata nini pale mbeya kama umefata majengo basi sawa mbeya ni mji uliotawanyika sana hakuna sehemu kama arusha kua utakuta soko stend kuu mara madukaMbeya pana uzuri wake,huwezi kupa down grade moja kwa moja,shida ni watu wake wanavopasifia sanaaaa,..hii ndiyo hufanya mtu ambaye hajawahi fika mbeya kabisa,anatamani siku moja afike...akisha fika mkiwa mjini katikati ( yaweza kuwa uhindini,mwanjelwa,sido,kabwe nk) mgeni wako atakuuliza "mjini ni wapi?".. wewe utamjibu "hapa ndiyo mjini", basi utamuona mgeni wako akikata tamaa kabisa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ameuliza mbeya sehemu ukiacha kabwe na mwanjelwa wap umeza ona mji nikamjibu aende uwindiniKwahiyo Uhindini ndio mjini kwenu?
Boss Niko Mbeya tokea 2014.
Mbeya kifupi hakuna chochote ni mara mia na home Dar.
Boraa Tunduma Kuna hela ila sio Mbeya.
#YNWA
Hizo picha za barabara unazoweka humu ni za zamani nadhani 2014, sasa hivi barabara zote za mjini ni mashimo kwa mahandaki makubwa makubwa..
Mtoa mada unadanganya kwa faida ya nani?kwanini usirushe hali halisi ya barabara za sasa ili hata serikali ione aibu iliyopo Mbeya upande wa barabara?
Umefikia hatua umerusha hadi picha za msitu wa sao hill uliopo Iringa unadanganya kuwa ni Mbeya,lengo lako nini?
Unasema Mbeya ni mkoa wa pili kwa idadi ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Mbeya kwenda wapi sijui...sina takwimu siwezi kukupinga ila kama ni mabasi yaendayo Dar ( kama ulimaanisha hayo) ni machache sana.labda kama ulimaanisha hadi yale ya akina super rojas,mwendamseke,zanuni,fire, yote mafuso ya injini nyuma ambayo maeneo mengine ni daladala hizo wala siyo gari za route ndefu tena hizo.
Watu wamekuhisi humu kuwa una ushamba flani hivi utakuwa hujatembea maeneo mengine,nami naona ni kweli...nenda Mwanza uone basi za route fupi za Mwanza-Musoma, Mwanza-Tarime-Sirari, Musoma-Bukoba, Tabora,Kahama uone vyuma vinavyofanya safari zake huko,huwezi kuja kutuletea akina super rojas utaona aibu. Hapo hujagusa basi zinazofanya route za kutoka kote huko kwenda Dar,Dodoma,Arusha.
Ardhi imebarikiwa sana,yaweza kuwa kweli, ila kwa maoni yangu,ardhi iliyobarikiwa ni ambayo ukipanda mazao hata bila kuweka mbolea,inakupa products nzuri tu,Mbeya hata mchicha bila UREA hupati kitu,mahindi ndiyo lazima uweke DAP kupandia,UREA kukuzia, SA na CAN kunenepesha punje, baraka za hiyo Ardhi ziko wapi? Wakati kuna maeneo Nyandoto Tarime huko watu wanavuna vizuri tu bila kuweka mbolea na wanalima mara mbili kwa mwaka wakati Mbeya ni mara moja kwa mwaka.
Mbeya ni pazuri ila sisi wana Mbeya tunapakuza sanaa kuliko uhalisia wake
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile
Mbeya hatukuruhusiwa kua na jengo lenye gorofa zaidi ya 3 ulitegemea lift ikae wapi mpaka 2013 ndio ikaruhusiwa na kwanzia apo yapo zaidi ya majengo30 yenye liftMm ajae TU hyo pimbi anapost barabara ya TANZAM vipande vipande halafu ni kipindi imejengwa🤣 pia bro mbeya lift wamezindua 2014 na walitamba balaa cheki hapaView attachment 2568295View attachment 2568296
Huku tunatoa watumishi kuja kuwanyonya nyie huko daslam mnatutajilisha sana kwa kweliHuko ni mahali salama kwa watumishi wamungu kwenda kuvuna kutoka kwa walugaluga wa mbeya.
Shule gani hiyo ya international mbeyaJiji Lina shule moja ya international as the same With kahama
Lete list ya international school mbeya mkoa tuone acha porojoShule za international zipo nyingi nyingi kwa sasa na zinafanya vizuri sana tu, ukiachana na za hapa mjini za wilaya nyingine pia
Wee mzee unakufahaam had nsalaga ndundu itakua skalamanga hadi car wash. Kiukwel mbeya maisha cheap sana aisee kiepe cha buku mnakula watatu.. kitimoto kilo 3000.. aiseeeMkuu ujenzi wa tofali za kuchoma kwa Mbeya mjini umekuja baadaye sana, mimi mwenyewe nimeishi sana tu kwenye hizo nyumba za tofali tope...
Nonde, Simike,Sinde, Nzovwe, Mbalizi, Makunguru, Ilomba, Uyole na hata miji mipya kama Nsalaga huku kote nyumba zilizopo ni za matofali ya matope yale...
Kuna miaka serikali ya mkoa ilipitisha amri ya ujenzi wa tofali za kuchoma, ndio walau afadhali watu wakaanza choma matanuru ya tofali na kwa waliokuwa na nyumba tayari, wakaambiwa wapige "lipu"...
Haziwezi vunjika kwa sababu zinajengwa vizuri, isipokuwa zinaharibu muonekano wa mji kwa namna zilivyo...Hazivutii machoni...
Wapi huko kilo 3000?Wee mzee unakufahaam had nsalaga ndundu itakua skalamanga hadi car wash. Kiukwel mbeya maisha cheap sana aisee kiepe cha buku mnakula watatu.. kitimoto kilo 3000.. aiseee
Wee mzee unakufahaam had nsalaga ndundu itakua skalamanga hadi car wash. Kiukwel mbeya maisha cheap sana aisee kiepe cha buku mnakula watatu.. kitimoto kilo 3000.. aiseee
Kama wakina mwamposa wanavyochuma kutoka kwa wajinga na kujenga kujenga mahotel ya kifahari mbeya, ila na nyie mmezidi kila hatua mbili makanisa.Huku tunatoa watumishi kuja kuwanyonya nyie huko daslam mnatutajilisha sana kwa kweli
MbeyaJust imagine chips jero,mahindi debe moja 3000, Sasa wataendeleaje na Nan mfanyabiashara mjinga afanye mbeya,,,hko patabaki kuwa mashamba ya nchi TU
Ndio lishakua jiji sasa jiue kama unahasira make hakuna namnaWe unataka tufanye nini kwenye hiyo largest slum in Tanzania.
Shule za international zipo nyingi nyingi kwa sasa na zinafanya vizuri sana tu, ukiachana na za hapa mjini za wilaya nyingine p
Hiyo shule imejaa watoto kutoka kanda ya ziwa na kaskazini endeleeni kujipongeza kwenye hamna.Na shule ya mbeya ndio shule bora kabisa tanzania pale st francis wapende wasipende mbeya tutawaongoza
Lakini haina sifa ya kuwa jiji hata moja.Mbeya
Ndio lishakua jiji sasa jiue kama unahasira make hakuna namna
Kama wakina mwamposa wanavyochuma kutoka kwa wajinga na kujenga kujenga mahotel ya kifahari mbeya, ila na nyie mmezidi kila hatua mbili makanisa.