Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Hakuna mkoa mzuri wa kuishi kama Mbeya hapa Tanzania

Takwimu hizo umezitoa wapi? Yaani Mbeya kuna unyafuzi watoto. Ficha chuki zako dada
Screenshot_20230328-231047.png
Screenshot_20230328-231047.png
Screenshot_20230328-231047.png
 
Halafu nilisahau kuwauliza watu wa Mbeya,
Vipi mbususu za huko?
Bei zao ni elekezi
Pia pisi za huko ni kali au ni mbegu fupi kama za kule kwa kina nanihii?
 
Niliaminigi maneno ya Wanyakyusa nikaenda huko 2009 nilikutana vumbi kama poda kipindi hiki watu wanakula nondo za utosi, saa moja jioni wote ndani ukitaka kwenda hata dukani inabidi uvae helmet kulinda fuvu.
Duh.!
 
Halafu nilisahau kuwauliza watu wa Mbeya,
Vipi mbususu za huko?
Bei zao ni elekezi
Pia pisi za huko ni kali au ni mbegu fupi kama za kule kwa kina nanihii?
Hizo pisi zimekaa kama wanaume ukijichanganya zinaweka kukugonga ngumi, juu wana miili mikubwa lakini chini wapo kama mandonga.
 
Uhindini kna nn Sasa Bora na isyesye yaan ukisikia jina utakurupka fika Sasa uoneshwe hapa Ndo uhindini utachoka mwili akili na roho

Nl
Mimi mzaliwa wa mbeya naishi mbeya nimejenga mbeya nafanya kazi mbeya nafanya biashara mbeya sijui utanieleza kitu gani kuhusu mneya na wilaya zake kata mpaka vijiji. Nina mahati ya kutembea na kuishi karibia majiji yote na mijij mingi tz hii na hua nazunguka nchi nzima sijafika bukoba na kigoma tu sasa ukiniletea story kuhusu hii tz na miji take ntakushangaa
 
Mbeya pana uzuri wake,huwezi kupa down grade moja kwa moja,shida ni watu wake wanavopasifia sanaaaa,..hii ndiyo hufanya mtu ambaye hajawahi fika mbeya kabisa,anatamani siku moja afike...akisha fika mkiwa mjini katikati ( yaweza kuwa uhindini,mwanjelwa,sido,kabwe nk) mgeni wako atakuuliza "mjini ni wapi?".. wewe utamjibu "hapa ndiyo mjini", basi utamuona mgeni wako akikata tamaa kabisa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Inategemea umefata nini pale mbeya kama umefata majengo basi sawa mbeya ni mji uliotawanyika sana hakuna sehemu kama arusha kua utakuta soko stend kuu mara maduka
Kwahiyo Uhindini ndio mjini kwenu?

Boss Niko Mbeya tokea 2014.
Mbeya kifupi hakuna chochote ni mara mia na home Dar.

Boraa Tunduma Kuna hela ila sio Mbeya.

#YNWA
Ameuliza mbeya sehemu ukiacha kabwe na mwanjelwa wap umeza ona mji nikamjibu aende uwindini
 
Ni wapi unaweza panda mazao bila mbolea. Kama barabara ni mashimo hilo ni tatizo la serikari iliyopo madarakani sio la wananchi ungesema nyumba za kuishi mbaya basi tungesema letu wanambeya.
Mnachuki sana mbeya sijui tatizo ninini
Hizo picha za barabara unazoweka humu ni za zamani nadhani 2014, sasa hivi barabara zote za mjini ni mashimo kwa mahandaki makubwa makubwa..

Mtoa mada unadanganya kwa faida ya nani?kwanini usirushe hali halisi ya barabara za sasa ili hata serikali ione aibu iliyopo Mbeya upande wa barabara?

Umefikia hatua umerusha hadi picha za msitu wa sao hill uliopo Iringa unadanganya kuwa ni Mbeya,lengo lako nini?

Unasema Mbeya ni mkoa wa pili kwa idadi ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Mbeya kwenda wapi sijui...sina takwimu siwezi kukupinga ila kama ni mabasi yaendayo Dar ( kama ulimaanisha hayo) ni machache sana.labda kama ulimaanisha hadi yale ya akina super rojas,mwendamseke,zanuni,fire, yote mafuso ya injini nyuma ambayo maeneo mengine ni daladala hizo wala siyo gari za route ndefu tena hizo.

Watu wamekuhisi humu kuwa una ushamba flani hivi utakuwa hujatembea maeneo mengine,nami naona ni kweli...nenda Mwanza uone basi za route fupi za Mwanza-Musoma, Mwanza-Tarime-Sirari, Musoma-Bukoba, Tabora,Kahama uone vyuma vinavyofanya safari zake huko,huwezi kuja kutuletea akina super rojas utaona aibu. Hapo hujagusa basi zinazofanya route za kutoka kote huko kwenda Dar,Dodoma,Arusha.

Ardhi imebarikiwa sana,yaweza kuwa kweli, ila kwa maoni yangu,ardhi iliyobarikiwa ni ambayo ukipanda mazao hata bila kuweka mbolea,inakupa products nzuri tu,Mbeya hata mchicha bila UREA hupati kitu,mahindi ndiyo lazima uweke DAP kupandia,UREA kukuzia, SA na CAN kunenepesha punje, baraka za hiyo Ardhi ziko wapi? Wakati kuna maeneo Nyandoto Tarime huko watu wanavuna vizuri tu bila kuweka mbolea na wanalima mara mbili kwa mwaka wakati Mbeya ni mara moja kwa mwaka.

Mbeya ni pazuri ila sisi wana Mbeya tunapakuza sanaa kuliko uhalisia wake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile
 
Mm ajae TU hyo pimbi anapost barabara ya TANZAM vipande vipande halafu ni kipindi imejengwa🤣 pia bro mbeya lift wamezindua 2014 na walitamba balaa cheki hapaView attachment 2568295View attachment 2568296
Mbeya hatukuruhusiwa kua na jengo lenye gorofa zaidi ya 3 ulitegemea lift ikae wapi mpaka 2013 ndio ikaruhusiwa na kwanzia apo yapo zaidi ya majengo30 yenye lift
 
Mkuu ujenzi wa tofali za kuchoma kwa Mbeya mjini umekuja baadaye sana, mimi mwenyewe nimeishi sana tu kwenye hizo nyumba za tofali tope...

Nonde, Simike,Sinde, Nzovwe, Mbalizi, Makunguru, Ilomba, Uyole na hata miji mipya kama Nsalaga huku kote nyumba zilizopo ni za matofali ya matope yale...

Kuna miaka serikali ya mkoa ilipitisha amri ya ujenzi wa tofali za kuchoma, ndio walau afadhali watu wakaanza choma matanuru ya tofali na kwa waliokuwa na nyumba tayari, wakaambiwa wapige "lipu"...



Haziwezi vunjika kwa sababu zinajengwa vizuri, isipokuwa zinaharibu muonekano wa mji kwa namna zilivyo...Hazivutii machoni...
Wee mzee unakufahaam had nsalaga ndundu itakua skalamanga hadi car wash. Kiukwel mbeya maisha cheap sana aisee kiepe cha buku mnakula watatu.. kitimoto kilo 3000.. aiseee
 
Wee mzee unakufahaam had nsalaga ndundu itakua skalamanga hadi car wash. Kiukwel mbeya maisha cheap sana aisee kiepe cha buku mnakula watatu.. kitimoto kilo 3000.. aiseee
Wapi huko kilo 3000?
Mm Naishi huku Mbeya hakuna hyo bei.
 
Wee mzee unakufahaam had nsalaga ndundu itakua skalamanga hadi car wash. Kiukwel mbeya maisha cheap sana aisee kiepe cha buku mnakula watatu.. kitimoto kilo 3000.. aiseee

Huwa mara kadhaa nikiwa Green city nakaa upande wa pili wa hiyo petrol station, mkono wa kushoto kabla hujaanza kushuka ile down uelekeo wa Itewe/Inyala...
 
Huku tunatoa watumishi kuja kuwanyonya nyie huko daslam mnatutajilisha sana kwa kweli
Kama wakina mwamposa wanavyochuma kutoka kwa wajinga na kujenga kujenga mahotel ya kifahari mbeya, ila na nyie mmezidi kila hatua mbili makanisa.
 
Na shule ya mbeya ndio shule bora kabisa tanzania pale st francis wapende wasipende mbeya tutawaongoza
Shule za international zipo nyingi nyingi kwa sasa na zinafanya vizuri sana tu, ukiachana na za hapa mjini za wilaya nyingine p
 
Na shule ya mbeya ndio shule bora kabisa tanzania pale st francis wapende wasipende mbeya tutawaongoza
Hiyo shule imejaa watoto kutoka kanda ya ziwa na kaskazini endeleeni kujipongeza kwenye hamna.
 
Kaka tunaandaa watu wa kupiga pesa nchi nzima sio uimbaji au uhubiri piga sana pesa wakija mbeya kama ee sio mwa hufungui kanisa
Kama wakina mwamposa wanavyochuma kutoka kwa wajinga na kujenga kujenga mahotel ya kifahari mbeya, ila na nyie mmezidi kila hatua mbili makanisa.
 
Back
Top Bottom