Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Bila shaka utakuwa mnono, white hivi, wowowo medium size,miguu minene na tabia za kumpendeza Bwana!!!!Sina sura nzuri, Sina tako, tabia nzuri pia Sina, ila wajuba walianza kutaka kunioa nilivyomaliza form 4🤣🤣🤣 Mzee wangu akakaza haolewi mtu Hadi nimalize chuo, Niko first year posa hii hapa, mwenyewe nikakaza ndoa Hadi nimalize chuo, nimemaliza chuo tu ndoa🤣
Hadi Sasa nipo ndoani Kuna wajuba bado wanatamani nitoke waniwowe tena🤣🤣🤣🤣🤣 mtoa mada Mimi ni nani?🤣🤣🤣🤣
Pick ya uzuri wa binti huwa inafika kikomo umri gani mkuu King Kong III ? Ina onesha mwanamke akifika 30 bila ndoa, automatically chance ya kuolewa inapungua.
Unaweza kunishambulia kwa maneno makali lkn huo ndiyo ukweli. Msichana mzuri na mwenye tabia njema hafikishi 25 bila kuolewa. Atalazimishws na pressure ya waoaji kwa gharama yoyote ile
Acha wivu atafute hela ili iwaje? Hivi kwenye utafutaji wanawake wanapitia changamoto nyingi kuliko wanaume?Na ukiona Msichana anakimbilia kuolewa hara haraka Jua njaa kali hana njia za kupata Hela anaona Ndoa ndio Mkombozj wake kufanikiwa kimaisha .miaka 25 unakimbilia nini kwenye Ndoa
Wapo Malkia wa Nguvu wazuri wa sura na Tabia 30+ na hawajaolewa by choice wanapambania kujiongezea kipato
Nimekupata mkuu King Kong III Na vipi kuhusu mwanaume, yeye anaanza kuonekana mzee kuanzia umri gani? Yaani graph ya wanaume inaanza kushuka akishafika umri upi?Mkuu Demu anakuwa more beautiful at 22 baada ya hapo graph inashuka,so hapo inategemea na maintenance yake tu.
Alarming graph shows what ages we find most attractive
According to a graph based on data from OKCupid dating profiles, women tend to be most attracted to men who are around their same age.www.dailymail.co.uk
\\Rick Ross = Hustlin'
Don't tote no twenty-twos, Magnum cost me twenty-two (22 - Mguu wa Kuku)
Sat it on them twenty-twos, birds go for twenty-two ( 22' inch rim , 22 ngada)
Lil' mama super thick, she say she twenty-two( 22 - Umri)
She seen them twenty-twos, we in room two twenty-two(Room 222 - Special Guest in the second floor)
Nimekupata mkuu King Kong III Na vipi kuhusu mwanaume, yeye anaanza kuonekana mzee kuanzia umri gani? Yaani graph ya wanaume inaanza kushuka akishafika umri upi?
Hapa napinga kwa HERUFI KUBWA umesahau kuna kitu kinaitwa mipango, malengo na maamuzi kuolewa kwa mtu hakuangaliii tu sura na tabia nzuri bali muolewaji ameishaamua kuolewa au kuna mambo yake anataka kuyatimiza kwanza ndo aolewe.Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Siyo kweli mbona wangu nimemuowa akiwa na 30+ na bado alikuwa bikra.
Ni kweli inasemwa hivyoWataalam wanasema ukishafikisha 45 nguvu zinaanza kuisha na ndiyo maana jeshini/polisi huwa wanastaafu(kwa wale wa field vyeo vya chini)...Hiyo ni standard ila kila sehemu huwa na taratibu zao mf kwenye mpira nao wana umri wao nadhani 35-40 inabidi uchape daruga.
Wapo wanaokimbilia kwasababu hiyo, pia wanaokimbilia kwasababu ya umri ila wote wa hivi ni hatari.Na ukiona Msichana anakimbilia kuolewa hara haraka Jua njaa kali hana njia za kupata Hela anaona Ndoa ndio Mkombozj wake kufanikiwa kimaisha .miaka 25 unakimbilia nini kwenye Ndoa
Wapo Malkia wa Nguvu wazuri wa sura na Tabia 30+ na hawajaolewa by choice wanapambania kujiongezea kipato
Mmeelewana wenyewe,watu wa linguistics wameachwa hapo.I have been said that "You talk about people? That people have specific......age......gender and so on?" Ni vyema unge mention specification and a bit of supportive data.
Kama ni wewe umesema ninge "kuquote" but i try to show you, how you should be represent?
I hope you have got my point?
Upo na miaka mingapi kwa ndoa?Kuwahi kuolewaaa kunachoshaa...niliolewaa chuo mwaka wa mwishooo...Now nipoo hoii
Wewe ni wa nadharia na kufikirika tu. Unafurahisha genge tu. Huwezi kuwavutia wanaume kiasi hicho endapo huna sura, tabia na takoSina sura nzuri, Sina tako, tabia nzuri pia Sina, ila wajuba walianza kutaka kunioa nilivyomaliza form 4🤣🤣🤣 Mzee wangu akakaza haolewi mtu Hadi nimalize chuo, Niko first year posa hii hapa, mwenyewe nikakaza ndoa Hadi nimalize chuo, nimemaliza chuo tu ndoa🤣
Hadi Sasa nipo ndoani Kuna wajuba bado wanatamani nitoke waniwowe tena🤣🤣🤣🤣🤣 mtoa mada Mimi ni nani?🤣🤣🤣🤣
Kati ya hao.... Wangapi walifika 40+ years wakiwa bado kwenye ndoa tamuuuu???Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.
Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.
Nimemaliza!
Kuto-olewa by choice maana yake hawa wana tabia za ukahaba. Wanaona ndoa zitawabana wasiendekeze tabia zao za ukahaba.Wapo Malkia wa Nguvu wazuri wa sura na Tabia 30+ na hawajaolewa by choice wanapambania kujiongezea kipato
Wewe kwa Umri wako hao wa Range hyo hawakufai maana inaweza wakawa wanafanana na wanao..A
Acha kukariri wewe kuolewa ni majaliwa ya Mungu au unadhani wanaume tunaoa tabia nzuri tu.Wanaume hatugombei wanawake tunagombea pesa.Kitoto cha miaka 15 up to 25yrs kitanipa nn zaidi ya stress?????Ngombe hazeeki maini afu nyama ya ngombe mzee ni tamu kwa matumizi binafsi.