Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Sina sura nzuri, Sina tako, tabia nzuri pia Sina, ila wajuba walianza kutaka kunioa nilivyomaliza form 4🤣🤣🤣 Mzee wangu akakaza haolewi mtu Hadi nimalize chuo, Niko first year posa hii hapa, mwenyewe nikakaza ndoa Hadi nimalize chuo, nimemaliza chuo tu ndoa🤣
Hadi Sasa nipo ndoani Kuna wajuba bado wanatamani nitoke waniwowe tena🤣🤣🤣🤣🤣 mtoa mada Mimi ni nani?🤣🤣🤣🤣
Bila shaka utakuwa mnono, white hivi, wowowo medium size,miguu minene na tabia za kumpendeza Bwana!!!!
😇
 
Pick ya uzuri wa binti huwa inafika kikomo umri gani mkuu King Kong III ? Ina onesha mwanamke akifika 30 bila ndoa, automatically chance ya kuolewa inapungua.

Mkuu Demu anakuwa more beautiful at 22 baada ya hapo graph inashuka,so hapo inategemea na maintenance yake tu.

\\Rick Ross = Hustlin'

Don't tote no twenty-twos, Magnum cost me twenty-two (22 - Mguu wa Kuku)
Sat it on them twenty-twos, birds go for twenty-two ( 22' inch rim , 22 ngada)
Lil' mama super thick, she say she twenty-two( 22 - Umri)
She seen them twenty-twos, we in room two twenty-two(Room 222 - Special Guest in the second floor)
 
Unaweza kunishambulia kwa maneno makali lkn huo ndiyo ukweli. Msichana mzuri na mwenye tabia njema hafikishi 25 bila kuolewa. Atalazimishws na pressure ya waoaji kwa gharama yoyote ile

Na ukiona Msichana anakimbilia kuolewa hara haraka Jua njaa kali hana njia za kupata Hela anaona Ndoa ndio Mkombozj wake kufanikiwa kimaisha .miaka 25 unakimbilia nini kwenye Ndoa

Wapo Malkia wa Nguvu wazuri wa sura na Tabia 30+ na hawajaolewa by choice wanapambania kujiongezea kipato
 
Acha wivu atafute hela ili iwaje? Hivi kwenye utafutaji wanawake wanapitia changamoto nyingi kuliko wanaume?
 
Mkuu Demu anakuwa more beautiful at 22 baada ya hapo graph inashuka,so hapo inategemea na maintenance yake tu.

\\Rick Ross = Hustlin'

Don't tote no twenty-twos, Magnum cost me twenty-two (22 - Mguu wa Kuku)
Sat it on them twenty-twos, birds go for twenty-two ( 22' inch rim , 22 ngada)
Lil' mama super thick, she say she twenty-two( 22 - Umri)
She seen them twenty-twos, we in room two twenty-two(Room 222 - Special Guest in the second floor)
Nimekupata mkuu King Kong III Na vipi kuhusu mwanaume, yeye anaanza kuonekana mzee kuanzia umri gani? Yaani graph ya wanaume inaanza kushuka akishafika umri upi?
 
Nimekupata mkuu King Kong III Na vipi kuhusu mwanaume, yeye anaanza kuonekana mzee kuanzia umri gani? Yaani graph ya wanaume inaanza kushuka akishafika umri upi?

Wataalam wanasema ukishafikisha 45 nguvu zinaanza kuisha na ndiyo maana jeshini/polisi huwa wanastaafu(kwa wale wa field vyeo vya chini)...Hiyo ni standard ila kila sehemu huwa na taratibu zao mf kwenye mpira nao wana umri wao nadhani 35-40 inabidi uchape daruga.
 
Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
Hapa napinga kwa HERUFI KUBWA umesahau kuna kitu kinaitwa mipango, malengo na maamuzi kuolewa kwa mtu hakuangaliii tu sura na tabia nzuri bali muolewaji ameishaamua kuolewa au kuna mambo yake anataka kuyatimiza kwanza ndo aolewe.
Wanaume kutaka mwanamke ilo ni jambo la kawaida sana katika suala la mapenzi sababu anaweza kuwa na sura na tabia nzuri lakini akawa na hitilafu mwenye mwili wake hali ambayo itawafanya wanaume wasifikirie kumuoa mfano anaweza kuwa na magonjwa ya kurithi, magonjwa ya mda mrefu au matatizo ya uzazi na mengineyo, unadhani asipopata mwanaume wa kuchukulia matatizo aliyonayo kama changamoto za maisha ataweza kuolewa kweli hata kama anatabia na sura nzuri ?
 
Siyo kweli mbona wangu nimemuowa akiwa na 30+ na bado alikuwa bikra.

Kwanza we ni mwanaume domo zege ambaye hujui kutongoza na hujui mapenz pili umekuta a na mjita amaaekutengeneezea bikra baada ya kuona we popoma [emoji23][emoji23][emoji23] ukweli ni kwamba binti lulu(wife material) havukagi 25 watu wanaaamuangalia sababu wanaaawake bora wa kuoa wamebaki wachache so akitokea anavombaniwa
 
Wataalam wanasema ukishafikisha 45 nguvu zinaanza kuisha na ndiyo maana jeshini/polisi huwa wanastaafu(kwa wale wa field vyeo vya chini)...Hiyo ni standard ila kila sehemu huwa na taratibu zao mf kwenye mpira nao wana umri wao nadhani 35-40 inabidi uchape daruga.
Ni kweli inasemwa hivyo
 
Mwanamke unakuta anarukaruka tu,utadhani hii dunia ina siri,hajui wajuba wanamuona na wanapeana tu namba,akitaka kuolewa,hapo ndipo anakuja kushtuka faili lake lote wadau wanalo,na wadau aanaambiana,huyo kama unataka umle tu sawa,ila kumuoa,atakupa presha,anaachia kinoma.
Sura na tabia,hasa tabia,ni muhimu sana.Ni ngumu sana mdada ana maex kama 32 eti aje atulie na mume, haiwezekani,lazima atafanya tabia mbaya na maex wake, wanaume tunaangalia tabia kwenye kuoa,ila kuosha rungu,tunataka mteremko,yaani vicheche.
Kuweni single mothers tu,muwe mnatusaidia tukitaka kuchepuka,mkiolewa wote,itakua noma.
 
Na ukiona Msichana anakimbilia kuolewa hara haraka Jua njaa kali hana njia za kupata Hela anaona Ndoa ndio Mkombozj wake kufanikiwa kimaisha .miaka 25 unakimbilia nini kwenye Ndoa

Wapo Malkia wa Nguvu wazuri wa sura na Tabia 30+ na hawajaolewa by choice wanapambania kujiongezea kipato
Wapo wanaokimbilia kwasababu hiyo, pia wanaokimbilia kwasababu ya umri ila wote wa hivi ni hatari.
Lengo lake ni kuwa "Mrs fulani tu".
 
I have been said that "You talk about people? That people have specific......age......gender and so on?" Ni vyema unge mention specification and a bit of supportive data.

Kama ni wewe umesema ninge "kuquote" but i try to show you, how you should be represent?

I hope you have got my point?
Mmeelewana wenyewe,watu wa linguistics wameachwa hapo.
 
Kuwahi kuolewaaa kunachoshaa...niliolewaa chuo mwaka wa mwishooo...Now nipoo hoii
Upo na miaka mingapi kwa ndoa?

Huwa nawaambia watu, kuoa/kuolewa mapema hata sio dili, upo 22 unakimbilia ndoa, by the tume unafika 35 upo hoi huitamani tena ndoa.

Ndoa zina ups and downs nyingi, changamoto zake ni nyingi, walau mtu awe 30 hivi ndio aingie kwenye mbilinge za ndoa, disadvantage yake ni moja tu kuwa utapata watoto kwa kuchelewa.
 
Sina sura nzuri, Sina tako, tabia nzuri pia Sina, ila wajuba walianza kutaka kunioa nilivyomaliza form 4🤣🤣🤣 Mzee wangu akakaza haolewi mtu Hadi nimalize chuo, Niko first year posa hii hapa, mwenyewe nikakaza ndoa Hadi nimalize chuo, nimemaliza chuo tu ndoa🤣
Hadi Sasa nipo ndoani Kuna wajuba bado wanatamani nitoke waniwowe tena🤣🤣🤣🤣🤣 mtoa mada Mimi ni nani?🤣🤣🤣🤣
Wewe ni wa nadharia na kufikirika tu. Unafurahisha genge tu. Huwezi kuwavutia wanaume kiasi hicho endapo huna sura, tabia na tako
 
Msichana aliyeumbika na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.

Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa.

Nataka kusema nn? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu makubwa Sana ya kimaumbile ama kitabia.

Nimemaliza!
Kati ya hao.... Wangapi walifika 40+ years wakiwa bado kwenye ndoa tamuuuu???
 
Wapo Malkia wa Nguvu wazuri wa sura na Tabia 30+ na hawajaolewa by choice wanapambania kujiongezea kipato
Kuto-olewa by choice maana yake hawa wana tabia za ukahaba. Wanaona ndoa zitawabana wasiendekeze tabia zao za ukahaba.

30+ bado hajaolewa ? Ataolewa na umri gani na ataenda kufanya nn kwenye ndoa ikiwa mwisho wa mwanamke kushika ujauzito ni 45??
 
A

Acha kukariri wewe kuolewa ni majaliwa ya Mungu au unadhani wanaume tunaoa tabia nzuri tu.Wanaume hatugombei wanawake tunagombea pesa.Kitoto cha miaka 15 up to 25yrs kitanipa nn zaidi ya stress?????Ngombe hazeeki maini afu nyama ya ngombe mzee ni tamu kwa matumizi binafsi.
Wewe kwa Umri wako hao wa Range hyo hawakufai maana inaweza wakawa wanafanana na wanao..
Pia, nachojua hatuoi wanawake ili watupe kitu kitu, wanawake siku zote ni wakupewavtu
 
Back
Top Bottom