Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Walaa sijamaanisha hivo mie.. 😂
 
Kama alimaliza form 4 na miaka 15 inawezekana akapata first degree akiwa 21😂😂😂 na itategemea alichosomea pia mkuu
 
Kuto-olewa by choice maana yake hawa wana tabia za ukahaba. Wanaona ndoa zitawabana wasiendekeze tabia zao za ukahaba.

30+ bado hajaolewa ? Ataolewa na umri gani na ataenda kufanya nn kwenye ndoa ikiwa mwisho wa mwanamke kushika ujauzito ni 45??
Mnhh mwisho kushika ujauzito ni miaka45?mkuu be serious kidogo😂😂😂
 
Kama alimaliza form 4 na miaka 15 inawezekana akapata first degree akiwa 21😂😂😂 na itategemea alichosomea pia mkuu
Yaah! Watoto huanza f1 wakiwa na 11 ama 12, kwahiyo 15 anamaliza F4.

Hata kama anasoma kozi ya miaka 5 chuo 24 anakuwa tayari kahitimu.
 
Yaah! Watoto huanza f1 wakiwa na 11 ama 12, kwahiyo 15 anamaliza F4.

Hata kama anasoma kozi ya miaka 5 chuo 24 anakuwa tayari kahitimu.
Ni hawa watoto wa sikuhizi wanaoanza darasa la kwanza wakiwa na 4 years.. 😂😂😂
Sie tulisubiri hadi mikono iguse sikio😁😁😁
 
mkuu King Kong III hii mada nimekumbuka mfano wa Sepenga wakati huo alipokuwa moto hadi kwa kina Blue, Mond lakini leo hii sio kitu, Mond yupo na wengine sasa. Generation ya kina Sepenga ambaye bado ana-trend ni kama Uwoya tu.
 
Mnhh mwisho kushika ujauzito ni miaka45?mkuu be serious kidogo😂😂😂
Very true mkuu. Biological science ndiyo inavyosema. At 45 secretion of lubricating fluids to the vagina ceases and oestrogen hormone flow stops

Females start feeling pain during sexual intercourse and no more menstruation cycle. Biashara ya kuzaa inakuwa ushney
 
Ni hawa watoto wa sikuhizi wanaoanza darasa la kwanza wakiwa na 4 years.. 😂😂😂
Sie tulisubiri hadi mikono iguse sikio😁😁😁
Siku hizi wanawahishwa kuepusha kuchapiwa ama kulawitiwa na wajomba, makaka na mashamba boy
 
Wewe unajua ni miaka mingapi?Na hiyo huwa maximum age.Nimewahi kuona mwanamme mwenye 38yrs early menopause
Sawa lakini so wote.. Wanawake hadi 55 hado 60 wanafika..talking from experience.. Izo menopause huwa zinaanza tuseme from uo umri na sio lazma kila mwanamke aanze muda huo kama ilivokua katika kupevuka sio wote walipevuka wakiwa na miaka 9,11, 13,15..kunawengine hadi 19,20 years wanafika.. Ni ivo pia kwa menopause😀
Kunawatu wamezaa wakiwa na 45,wengine 50 na watoto wao wako vizuri tu..inategemea na mwili wa mtu pia..
 
Mh! Inamaanisha mchumba wangu mwenye 28y anamapungufu
 
Hakunaga akili inayomfanya mwanadamu ashindwe kuyatawala mazingira yake. Hayo siyo matumizi ya akili. Hao ni wajinga ni vile tu hukuwajua undani wao vizuri
Nin kwel mkuu unayosasema ,ila kuna kundi kubwa tu wanawaogopa wanawake wenye akili kwa kuhofia kuendeshwa , pengne ata unakuta wla hawapo hivyo , kwa hyo mtu anajifia tu bila kuwa na mwenza .
 
ila kuna kundi kubwa tu wanawaogopa wanawake wenye akili kwa kuhofia kuendeshwa ,
Mwanamke mwenye akili halafu akakosa adabu ni WA kuogopwa. Kwasabb atakosoa ama kushauri jambo pasi na staha hivyo kukwaza nafsi ya mwanaume kisha kupelekea ugomvi.
 
Sawa waolewe wakiwa na 40 ila wasigawe gawe utamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…