Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Maneno makali sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wadada wa JF this time around wanakula bakora ile kiroho mbaya..

Acheni hizo wakuu.
 
Wapo wengi wazuri tu na tabia njema na wamepita age hiyo hawajaolewa, na hii yote ni mazingira waliyokulia, wazazi kuwa wakali saana unaogopa kuwa hata kwenye mahusiano au kuchagua saana wachumba.
 
Daaaaah sasa hivi mtu akikumimba then akasepa ni kumroga tu no way out. Hizi kebehi kwa masingo maza zimezidi sana. Hakuna mtu anapenda kuzalishwa na kuachwa punguzeni ukali wa maneno!
 
Point[emoji3578]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu,25 mbali kanaanza kuwindwa 10+...
 
Wadada wa JF this time around wanakula bakora ile kiroho mbaya..

Acheni hizo wakuu.
Ndiyo maana hawaonekani JF muda huu. Miguu yao imepinduliwa chini juu kama buibui
 
Daaaaah sasa hivi mtu akikumimba then akasepa ni kumroga tu no way out. Hizi kebehi kwa masingo maza zimezidi sana. Hakuna mtu anapenda kuzalishwa na kuachwa punguzeni ukali wa maneno!
Kuzalishwa na kuachwa sio hoja...tatizo linaanzia pale unapoolewa halafu unaendelea kuwasiliana na baba wa mtoto...
Ndio sababu inafanya tuwaogope singo maza kuliko kituo cha polisi..
 
Kuzalishwa na kuachwa sio hoja...tatizo linaanzia pale unapoolewa halafu unaendelea kuwasiliana na baba wa mtoto...
Ndio sababu inafanya tuwaogope singo maza kuliko kituo cha polisi..
Hata asiye singo maza ana uwezo wa kudate na wewe huku akiwasiliana na ex wake!
 
Hata asiye singo maza ana uwezo wa kudate na wewe huku akiwasiliana na ex wake!
Huyo ni rahisi kumzuia,ila sio singo maza...singo maza haolewi labda aoneshe kaburi la baba wa mtoto wake.
 
Kwa kifupi wanawake smart wote wameolewa.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…