Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

Hiyo mishisha kama gari moshi,unavozipenda bange/
ATAKUOA NANI

Umezidisha kila party hukosi na lazima uliwe/
ATAKUOA NANI.

Mwili umejaa matattoo,na hayo matattoo unatembea kwa miguu/
ATAKUOA NANI.

Na unavozipenda pombeee,ukishalewa wanaswaga kama ling`ombe/
ATAKUOA NANI.

Na huo usingo maza na unavorembua,nyodo kibao,na shepu yako ya box/
ATAKUOA NANI..

Halafu kama ni singo mama hata uwe na miaka 20,tako laini,sura nzuri,tabia nzuri nenda kacheze porno tu/
HUOLEWI NG'O!!!
 
Kama umebahatika umeolewa mapema na dada zako pia shukuru Mungu
 
Mkuu wimbo wa nan huo nimeupenda
 
Muogope Mungu. Ishi kama mtu mwenye kujuwa vile Mungu anafanya kazi. Sio kila mtu ataolewa wala sio kila mtu ataowa. Wapo wanawake wazuri na wenye adabu hawana waume na wanahaha na madangwa yao hwuwez amini ila wapo pia wanaume handsome hawawez Kaa ma mke. Mungu hadhihakiwi chochote ambandacho mtu huvuna. End
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…