Uchaguzi 2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

Ccm akili washanywea pombe
 
Wapinzani wakubwa wa Lissu, wamo ndani ya Chadema. Sisi wengine zetu ni huruma tuu.
 
Hiyo ndiyo shida yenu kubwa, hamupendi ukweli, na mtu akiwaeleza ukweli, kwenu mwenye akili ni mkicha, na mkicha ni jasiri.
Ujue nimekushangaaa sana Au hujui ulichoandika? Sasa lisu anagombea na mbowe Au anagombea na magufuli wenu? Yani magufuli anashindana na lisu Halafu lisu iweje ashindane na mwenzake ndani Ya chama tena?
 
Bado ui mchanga kisiasa, wndelea utajifunza. Keep it up u will learn
 
Bado ui mchanga kisiasa, wndelea utajifunza. Keep it up u will learn
Unapaswa ujifunze wewe, ndio ulieshikwa akiri hujitambui maaana mgombea wa Ccm yeye anashangaa nyomi haaamini kuwa ni nyomi Ya lisu wewe badala Ya kumtuliza alerax unakuja kupwata pwata humu kenge wewe
 
Mnapoambiwa JPM ni mkombozi wa taifa muwe mnaelewa. Serikali ya JPM imejitahidi kuweka mambo sawa tofauti na serikali zilizopita.
Mataga akili hamna kabisa,kwani serikali zilizopita zilikua za chama gani vile?
 
Unapaswa ujifunze wewe, ndio ulieshikwa akiri hujitambui maaana mgombea wa Ccm yeye anashangaa nyomi haaamini kuwa ni nyomi Ya lisu wewe badala Ya kumtuliza alerax unakuja kupwata pwata humu kenge wewe
Asante Joyce, nakushukuru kwa matusi. Usiku mwema dada
 
Wamachinga waandamane nchi nzima warudishiwe Tshs 20,000/- zao walizolazimishwa kulipia kwa nguvu vitambulisho wakati kumbe ilikuwa ni hiari. Pili, wakuu wa mikoa, mfano Amos Makala akiwa RC Mbeya warudishiwe utu wao uliodhalilishwa hadharani na kutenguliwa uteuzi eti walishindwa kusimamia zoezi la lazima la kuwalipisha wamachinga Tshs 20,000/-. Mzee Baba, kwa hili amejichanganya sana.
 
Machinga wametulia wanafanya kazi kwasababu ya JPM. Hakuna lugha nyingine mtu atasema na machinga wakamuelewa.
Bila upinzani wenye nguvu nchi hii mambo yatakwenda kombo asante sana CDM kwa kongoza njia.
 
Mkuu ni kweli kabisa. Nina ndugu yangu ni katibu wa CCM wa mkoa fulani,kwa kweli amekiri kabisa kuwa amechoka kufanywa msukule na kumtumikia kafiri.
Kikubwa zaidi ni kwamba yeye na wenzake kadhaa, wanaamini jamaa ikitokea bahati kwake akapita,basi hali itakuwa mbaya mbaya zaidi kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…