Uchaguzi 2020 Hakuna mtu anayeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Dkt. Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo

Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.

Wakuuu, hiii ndio maaana watanzania wanampenda Lissu, hakuna mtu anaeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo.

Hivi Kama watu wameteswa na kuumizwa Juu ya hili kwa kipindi chote cha miaka minne iweje Leo aje Lissu ndio itolewe amri? Ina maana Lissu angekuwepo Tanzania suala hili kumbe halingesumbua wamachinga, sasa wale wanaompinga Lissu wanatoa wapi nguvu ya kumpinga Lissu?
Ccm akili washanywea pombe
 
Wapinzani wakubwa wa Lissu, wamo ndani ya Chadema. Sisi wengine zetu ni huruma tuu.
 
si hilo tu bosi kuna mengine makubwa Magufuli kayatii kila Tundu Lissu anapotoa tamko:

1. Magufuli kamwaga ajira zaidi ya 13,000 (walimu) majuzi tu hapa baada ya Lissu kuongea kuhusu ukosefu wa ajira

2. kutopandishwa mishahara: inasemekana kuna nyongeza kuanzia mwezi huu

3. Askofu aliyenyang'anywa passport na serekali karejeshewa baada ya mkwara wa Lissu

4. Magufuli kaalika marais 2 kutoka Uganda & Burundi mara tu baada ya Lissu kuongelea suala la uhusiano wetu mbaya na nchi jirani

5. na mengine mengi anayotekeleza kimya kimya kila Lissu anavyotoa tamko.

1600794551470.png
 
Hiyo ndiyo shida yenu kubwa, hamupendi ukweli, na mtu akiwaeleza ukweli, kwenu mwenye akili ni mkicha, na mkicha ni jasiri.
Ujue nimekushangaaa sana Au hujui ulichoandika? Sasa lisu anagombea na mbowe Au anagombea na magufuli wenu? Yani magufuli anashindana na lisu Halafu lisu iweje ashindane na mwenzake ndani Ya chama tena?
 
Bado ui mchanga kisiasa, wndelea utajifunza. Keep it up u will learn
 
Unapaswa ujifunze wewe, ndio ulieshikwa akiri hujitambui maaana mgombea wa Ccm yeye anashangaa nyomi haaamini kuwa ni nyomi Ya lisu wewe badala Ya kumtuliza alerax unakuja kupwata pwata humu kenge wewe
 
Mnapoambiwa JPM ni mkombozi wa taifa muwe mnaelewa. Serikali ya JPM imejitahidi kuweka mambo sawa tofauti na serikali zilizopita.
Mataga akili hamna kabisa,kwani serikali zilizopita zilikua za chama gani vile?
 
Unapaswa ujifunze wewe, ndio ulieshikwa akiri hujitambui maaana mgombea wa Ccm yeye anashangaa nyomi haaamini kuwa ni nyomi Ya lisu wewe badala Ya kumtuliza alerax unakuja kupwata pwata humu kenge wewe
Asante Joyce, nakushukuru kwa matusi. Usiku mwema dada
 
Baada ya juzi Tundu Lissu kuibua sakata la wamachinga kuuziwa vitambulisho na kulaani kitendo hicho, Jana Rais Magufuli amelitolea ufafanuzi na kusema kuwa sio kweli na kutoa maagizo kwa wakuu wa wilaya nchi nzima kuwa ni marufuku wamachinga kuuziwa vitambulisho hivyo, Magufuli amesema kuwa hilo suala ni hiari na sio lazima.

Wakuu, hiii ndio maaana watanzania wanampenda Lissu, hakuna mtu anaeweza kumpinga Lissu kwani anachozungumza hata Magufuli mwenyewe anakikubali muda huo huo.

Hivi Kama watu wameteswa na kuumizwa Juu ya hili kwa kipindi chote cha miaka minne iweje Leo aje Lissu ndio itolewe amri? Ina maana Lissu angekuwepo Tanzania suala hili kumbe halingesumbua wamachinga, sasa wale wanaompinga Lissu wanatoa wapi nguvu ya kumpinga Lissu?

Wamachinga waandamane nchi nzima warudishiwe Tshs 20,000/- zao walizolazimishwa kulipia kwa nguvu vitambulisho wakati kumbe ilikuwa ni hiari. Pili, wakuu wa mikoa, mfano Amos Makala akiwa RC Mbeya warudishiwe utu wao uliodhalilishwa hadharani na kutenguliwa uteuzi eti walishindwa kusimamia zoezi la lazima la kuwalipisha wamachinga Tshs 20,000/-. Mzee Baba, kwa hili amejichanganya sana.
 
Machinga wametulia wanafanya kazi kwasababu ya JPM. Hakuna lugha nyingine mtu atasema na machinga wakamuelewa.
Bila upinzani wenye nguvu nchi hii mambo yatakwenda kombo asante sana CDM kwa kongoza njia.
 
Kwa sasa hata miongoni mwa wanaCCM wenye akili nzuri wanajua wazi Lissu ndio mwamba wa kweli katika siasa za Tanzania, akifanikiwa kumkalisha chini Magu na wao pia wataneemeka.

Maana wao pia wamechoka kupelekeshwa kama magunia ya mahindi yaliyojazwa kwenye lori linaloendeshwa ovyo ovyo na dereva mwenye ukichaa.
Mkuu ni kweli kabisa. Nina ndugu yangu ni katibu wa CCM wa mkoa fulani,kwa kweli amekiri kabisa kuwa amechoka kufanywa msukule na kumtumikia kafiri.
Kikubwa zaidi ni kwamba yeye na wenzake kadhaa, wanaamini jamaa ikitokea bahati kwake akapita,basi hali itakuwa mbaya mbaya zaidi kupindukia.
 
Back
Top Bottom