Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
Ni kweli, hivyo ndivyo mtunga katiba alivyo dhamiria, tena alisema katiba ndio supreme ikifuatiwa na sheria, hakuna aliye juu ya katiba na hakuna aliye juu ya sheria, ila kufuatia ukweli wa mambo kuhusu katiba ni kakitabu tuu, Rais wa JMT yuko juu ya hako kakitabu kama nilivyoeleza hapa
Thread 'Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?' Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?
P
 
Ni kweli, hivyo ndivyo mtunga katiba alivyo dhamiria, tena alisema katiba ndio supreme ikifuatiwa na sheria, hakuna aliye juu ya katiba na hakuna aliye juu ya sheria, ila kufuatia ukweli wa mambo kuhusu katiba ni kakitabu tuu, Rais wa JMT yuko juu ya hako kakitabu.
P
Ni suala la muda tu kabla huyo rais kilaza pro max hajashikishwa adabu barabara na hao anaowategemea.
 
Back
Top Bottom