Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

Screenshot_20220707-151044_Quora.jpg

Mtoa mada akiwa chini kulia akutafakari imekuaje mzabzab amepita na kuondoka bila hata kunawa
 
Watu humu mambooz.

Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.

Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha yanaenda sana.

Na ndiyo maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo.
Chupa limeamka na chai🤣
 
Back
Top Bottom