maxmiller pro
JF-Expert Member
- Jan 1, 2022
- 225
- 399
Jaman nini kimetokea?man down?au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh nakwambia ni hatari auntDada alikuwa anafatilia waliosingle na research akafanya akaona bila bila😂😂😂
Kumbe anataka de libolo🤣🤣🤣🤣Unazeeka vibaya. Ingia PM fasta. Kuku wa kienyeji kakosea kangia banda la paka....
Anapenda kugegedana🤣🤣🤣🤣Ww unaweza kua ni mzabzab wa kike🤣🤣
Wanaume watatufanya tuwe vichaa sio Kwa nyuz hizi😂😂😂Eeeh nakwambia ni hatari aunt
Eeeeh wanaume wa sasa wanajiita sitak shari🙆🙆🙆🙆🙆Wanaume watatufanya tuwe vichaa sio Kwa nyuz hizi😂😂😂
😂😂😂Eeeeh wanaume wa sasa wanajiita sitak shari🙆🙆🙆🙆🙆
Akili zako unazijua mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23]Ww unaweza kua ni mzabzab wa kike[emoji1787][emoji1787]
☺️😊😊Akili zako unazijua mwenyew[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii itakuwa ni au😂😂Jaman nini kimetokea?man down?au?
Huu uzi unachekesha jamaniWanaume watatufanya tuwe vichaa sio Kwa nyuz hizi😂😂😂
Chupa limeamka na chai🤣Watu humu mambooz.
Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili.
Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha yanaenda sana.
Na ndiyo maana mnalogwa majogoo hayapandi na wala watu wapati vinyweleo.
Nileteeni Unique Flower 🤣🤣🤣Huu uzi unachekesha jamani
Labda kama anatania, ila kama ni kweli maskini pole yake
Umefikiwa mkuuAliye elewa anieleweshe
Hujaelewa nini mkuu?Aliye elewa anieleweshe