Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

Ni ushauri tu.

Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza mechi ya kirafiki zidi ya Zesco United na akiwa ugenini akashinda goal moja. Hiyo inamaana kubwa Sana kwenye fitness ya team na kisaikolojia. Nimuombe Rais wa Yanga, Eng. Herse aitumie fursa hii kuweka record, atafute mechi za kirafiki haraka Sana haswa na team za uarabuni.
Kutokuitwa kwa wachezaji wengi wa club ya Yanga kwenye team za taifa, iwe advantage kwa Yanga kujiandaa na mchezo wao zidi ya Al hilal ya Sudan kusini
Ushindi kwa Zalani hautoi matumaini Sana kwani ndiyo team pekee iliyotolewa kwa aggregate ya bao tisa. Kama itawezekana pia, tuombe friend mechi na TP Mazembe au Al ahly ya misiri tujipime tuone wapi panavuja kabla ya mechi ya ccl.
Natumai ujumbe huu utawafikia viongozi wa Yanga maana safari hii Yanga isipofuzu, bidii yenu kwenye league itakuwa sawa na bure maana usajili uliofanyika siyo kwa NBC tu, bali nikwaajili ya league ya mabingwa Africa
Hilo ni wazo zuri sana.

Ila naamini viongozi wanalitambua hili na wameweka 'strategies' nzuri kuelekea game yetu na Al Hilal.
 
Ni ushauri tu.

Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza mechi ya kirafiki zidi ya Zesco United na akiwa ugenini akashinda goal moja. Hiyo inamaana kubwa Sana kwenye fitness ya team na kisaikolojia. Nimuombe Rais wa Yanga, Eng. Herse aitumie fursa hii kuweka record, atafute mechi za kirafiki haraka Sana haswa na team za uarabuni.
Kutokuitwa kwa wachezaji wengi wa club ya Yanga kwenye team za taifa, iwe advantage kwa Yanga kujiandaa na mchezo wao zidi ya Al hilal ya Sudan kusini
Ushindi kwa Zalani hautoi matumaini Sana kwani ndiyo team pekee iliyotolewa kwa aggregate ya bao tisa. Kama itawezekana pia, tuombe friend mechi na TP Mazembe au Al ahly ya misiri tujipime tuone wapi panavuja kabla ya mechi ya ccl.
Natumai ujumbe huu utawafikia viongozi wa Yanga maana safari hii Yanga isipofuzu, bidii yenu kwenye league itakuwa sawa na bure maana usajili uliofanyika siyo kwa NBC tu, bali nikwaajili ya league ya mabingwa Africa
Al ahly?? Hivi unafhani hizi mechi za kimataifa ni unaamka tu na kusema leo ngoja niombe na fulani mechi kisha baada ya wiki ucheze nae??
 
Hizi timu zinaajiri wataalamu wa kila nyanja. Siamini kabisa kwamba hawajui uhitaji wa timu mpaka waone malalamiko ya washangiliaji. Hebu tuweke imani kwa benchi la ufundi na uongozi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom