Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

Hilo ni wazo zuri sana.

Ila naamini viongozi wanalitambua hili na wameweka 'strategies' nzuri kuelekea game yetu na Al Hilal.
 
Al ahly?? Hivi unafhani hizi mechi za kimataifa ni unaamka tu na kusema leo ngoja niombe na fulani mechi kisha baada ya wiki ucheze nae??
 
Hizi timu zinaajiri wataalamu wa kila nyanja. Siamini kabisa kwamba hawajui uhitaji wa timu mpaka waone malalamiko ya washangiliaji. Hebu tuweke imani kwa benchi la ufundi na uongozi kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…