Hakuna murder case isiyoacha alama/ushahidi

Zipo nyingi tu ambazo ushahidi haukuepo.

Nikikutajia ya Jack the Ripper utasema ni ya zamani teknolojia haikua imetanuka.

Nakupa hii. Kasome kesi ya mtu anaitwa Kenneth McElroy, anapigwa risasi na kuna watu zaidi ya 40 wanaona, hakuna aliyeita ambulance na wakati anapigwa risasi alikua na mke wake na hakuna ushahidi uliowahi kupatikana kua kauawa.
 
Ilikuwa ya mwaka Gani? na Taifa gani
 
Na hii ndo vibaka utumia hii advantage utapigwa mzinga hadi uchoke mara wauingie vijana wese,vocha,andaa usafiri.
Kwa kweli uchunguzi ni gharama
 
Baada ya miaka 9 mtu katiwa mbaroni
 

Attachments

  • markup_1000111739.png
    1.1 MB · Views: 1
Haha! nipeni mimi hiyo shughuli muone kama nitaacha alama mtajuta!
Unaweza kumkurupua mtu kwenye meza ya kusomea, kisha ukatengeneza tukio la kujitoa uhai, na kisha urudishe kila kilichovurugika mahala pake, kama ilivyokuwa?? Hata kama ni ganda la pipi??

Utadakwa tu, labda mamlaka ziamue kupotezea, lazima kuna alama utaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…