Pre GE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona tayari umeshajifukiza moshi kama kawaida yako.
Nitolee upumbavu wako hapa unajifanya unaijua sana CCM kuliko wenye CCM yao, wewe ni kidampa tu na utakuwa hivyo daima, uchawa uliopitiliza ndiyo umekufanya udharaulike na wateuzi bwege wewe.
 
Inatakiwa wajitokeze wengine wengi, ila chaguo lenu mkutano mkuu awe Samia.

Munatakiwabmuwe mfano mzuri wa democrasia.

Usisahau Botswana chama Tawala Chali baada bya miaka 58 madarakani.
What gooes around comes around
 
Hili linajulikana sema watu wanajitoa ufahamu tu kama vile hawaijui CCM. Sasa hivi kuna magazetinyanatafuta habari za kuuza hadi wanaandika uongo eti kuna wagombea wengine wamejipanga kuchukua form๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wanajifanya kutunga vihabari vya uongo na uzushi kwa ajili ya kuuza vipeperushi vyao vilivyokosa soko.
 
Inatakiwa wajitokeze wengine wengi, ila chaguo lenu mkutano mkuu awe Samia.

Munatakiwabmuwe mfano mzuri wa democrasia.

Usisahau Botswana chama Tawala Chali baada bya miaka 58 madarakani.
What gooes around comes around
CCM ni chama kiongozi Barani Afrika ambacho kitaendelea kusalia madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.
 
Mambo ya utamadun Karne hii! Katiba ya chama inaruhusu wanachama kugombea au
 
Mpaka umepandisha uzi mana yake una hofu, na hofu yako ni kweli kwasababu 2025 Raisi atakuwa mwanaume.
 
Ndio matakwa ya katiba ya CCM?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ dah pazto sasa ili mtuaminishe nyie ndyo bab na mam Wa democrasia nchni watiania wanatkiwa kuwa zaid ya 50 alaf mpge kura mpitishe moja kwa haki ndyo tutajua hz uchaguz ainaga uwz wakura
 
Hili linajulikana sema watu wanajitoa ufahamu tu kama vile hawaijui CCM. Sasa hivi kuna magazetinyanatafuta habari za kuuza hadi wanaandika uongo eti kuna wagombea wengine wamejipanga kuchukua form[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaijua CCM????? Muulize katibu wako mkuu Dr Nchimbi ukimkosa mtafute Balozi H. Polepole pale Havana
 
Soma nilichoandika na siyo kutoa maoni yako bila kulielewa andiko langu.sheria katika nini? Nimekuandikia andiko langu na kuweka hadi mifano na ufafanuzi wa kina.
Vyama binaongozwa na katiba sio utashi binafsi wala utamaduni.....jinsi mnavyompamba mnaogopa nini kumshindanisha wana ccm? Hofu yenu nini ? Mnaogopa kivuli chake....
 
kubwa jinga hili
 
Moderator naomba Mfanye marekebisho hapo kwenye kichwa cha andiko langu na kukiweka kama nilivyokuwa Nimekiweka Mimi kwa kusomeka kuwa๐Ÿ‘Ž

Hakuna Mwana CCM. Na siyo kama Ninyi mlivyo weka na kuandika kuwa Hakuna CCM.
Hadi mods unawafundisha kazi!!!!!
 
Hakikisha unamuombea maana akiondoka madarakani anaondoka na Chawa wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ