Utasikia chadema wanalalamika wakati Mbowe ana miaka 30 ya uenyekiti wa chama taifa
Kwa hiyo sare sare maua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia chadema wanalalamika wakati Mbowe ana miaka 30 ya uenyekiti wa chama taifa
Nitolee upumbavu wako hapa unajifanya unaijua sana CCM kuliko wenye CCM yao, wewe ni kidampa tu na utakuwa hivyo daima, uchawa uliopitiliza ndiyo umekufanya udharaulike na wateuzi bwege wewe.Naona tayari umeshajifukiza moshi kama kawaida yako.
Inatakiwa wajitokeze wengine wengi, ila chaguo lenu mkutano mkuu awe Samia.Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia wala kutamka hadharani au mahala penginepo pale popote pale .
kuwa anataka kuchuana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kuomba ridhaa ya kupeperusha Bendera ya CCM.
Hii ni kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa mgombea wa CCM atakuwa ni Rais Samia pekee ambaye atachukua na kurejesha Fomu ya Urais,ni Rais Samia pekee ndiye atakaye achiwa nafasi ya kuchukua Fomu hiyo ya Urais,Ni Rais Samia pekee ambaye atakuwa na nafasi ya kuendelea na muhula wa pili wakuongoza Taifa letu,ni Rais Samia pekee ndiye anayetarajiwa kuiwakilisha CCM katika uchaguzi Mkuu hapo Mwakani dhidi ya vyama dhaifu na vilivyokosa Dira na muelekeo aina ya CHADEMA.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan
Imekuwa hivyo kwa CCM tangia kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Nchini.Imekuwa hivyo wakati wa Hayati Benjamini Mkapa mwaka 2000,Imekuwa Hivyo kwa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2010,Imekuwa hivyo kwa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli 2020 Na itakuwa hivyo kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan 2025.
Na ndio Maana mpaka sasa upinzani umejikatia tamaa kabisa ya hata kutafuta mtu wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.maana wanajuwa hawana mtu mwenye uwezo wala nguvu wala ubavu wala ushawishi wa kuweza kushindana na Mama huyu imara,hodari, shupavu na madhubuti kwelikweli.
Kwa sababu mtu yeyote yule mwenye akili Timamu na anayejitambua na asiye na upofu wa akili na macho anatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia na serikali yake ya CCM iliyogusa Maisha ya watu na kuleta tabasamu na matumaini kwa mamilioni ya watanzania.
Ndio sababu ya kuona kwa sasa upinzani kama CHADEMA Wamekata tamaa hata ya kufanya mikutano ya hadhara.huwaoni hata wakifanya hamasa ya jambo lolote lile kama zamani.ndio maana unaona akina Mbowe wapo kama hawapo,huku watu kama lissu wakiwa mguu pande na njia pande kuendelea kukaa na kusalia CHADEMA au kutafuta makazi mapya.Ndio maana chama kinakwenda kama kipofu gizani.
Rais Samia amefanikiwa kuyaleta makundi yote kwa pamoja na kupata uungwaji mkono kwa kila kundi,kuanzia kwa vijana,wazee,akina mama kwote huko Mama Samia anakubalika na kuungwa sana mkono.huku CHADEMA ikisusiwa na kupuuzwa na watanzania.ndio maana mliona waliopoitisha hata maandamano aliishia kujitokeza Mbowe na mwanae tu ,huku Mke wake akiwa haieleweki kama alikuwa anakwenda kazini au kuwaomba majirani waandamane.Huku Mbowe akiwaomba waandishi wa habari akina Salimu KIkEKE waandamane naye.View attachment 3141244View attachment 3141254
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hili linajulikana sema watu wanajitoa ufahamu tu kama vile hawaijui CCM. Sasa hivi kuna magazetinyanatafuta habari za kuuza hadi wanaandika uongo eti kuna wagombea wengine wamejipanga kuchukua form🤣🤣🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,

Wanajifanya kutunga vihabari vya uongo na uzushi kwa ajili ya kuuza vipeperushi vyao vilivyokosa soko.Hili linajulikana sema watu wanajitoa ufahamu tu kama vile hawaijui CCM. Sasa hivi kuna magazetinyanatafuta habari za kuuza hadi wanaandika uongo eti kuna wagombea wengine wamejipanga kuchukua form🤣🤣🤣🤣
CCM ni chama kiongozi Barani Afrika ambacho kitaendelea kusalia madarakani kwa kadri ya uhai wa Taifa letu.Inatakiwa wajitokeze wengine wengi, ila chaguo lenu mkutano mkuu awe Samia.
Munatakiwabmuwe mfano mzuri wa democrasia.
Usisahau Botswana chama Tawala Chali baada bya miaka 58 madarakani.
What gooes around comes around

Mambo ya utamadun Karne hii! Katiba ya chama inaruhusu wanachama kugombea auNdugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia wala kutamka hadharani au mahala penginepo pale popote pale .
kuwa anataka kuchuana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kuomba ridhaa ya kupeperusha Bendera ya CCM.
Hii ni kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa mgombea wa CCM atakuwa ni Rais Samia pekee ambaye atachukua na kurejesha Fomu ya Urais,ni Rais Samia pekee ndiye atakaye achiwa nafasi ya kuchukua Fomu hiyo ya Urais,Ni Rais Samia pekee ambaye atakuwa na nafasi ya kuendelea na muhula wa pili wakuongoza Taifa letu,ni Rais Samia pekee ndiye anayetarajiwa kuiwakilisha CCM katika uchaguzi Mkuu hapo Mwakani dhidi ya vyama dhaifu na vilivyokosa Dira na muelekeo aina ya CHADEMA.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan
Imekuwa hivyo kwa CCM tangia kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Nchini.Imekuwa hivyo wakati wa Hayati Benjamini Mkapa mwaka 2000,Imekuwa Hivyo kwa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2010,Imekuwa hivyo kwa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli 2020 Na itakuwa hivyo kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan 2025.
Na ndio Maana mpaka sasa upinzani umejikatia tamaa kabisa ya hata kutafuta mtu wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.maana wanajuwa hawana mtu mwenye uwezo wala nguvu wala ubavu wala ushawishi wa kuweza kushindana na Mama huyu imara,hodari, shupavu na madhubuti kwelikweli.
Kwa sababu mtu yeyote yule mwenye akili Timamu na anayejitambua na asiye na upofu wa akili na macho anatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia na serikali yake ya CCM iliyogusa Maisha ya watu na kuleta tabasamu na matumaini kwa mamilioni ya watanzania.
Ndio sababu ya kuona kwa sasa upinzani kama CHADEMA Wamekata tamaa hata ya kufanya mikutano ya hadhara.huwaoni hata wakifanya hamasa ya jambo lolote lile kama zamani.ndio maana unaona akina Mbowe wapo kama hawapo,huku watu kama lissu wakiwa mguu pande na njia pande kuendelea kukaa na kusalia CHADEMA au kutafuta makazi mapya.Ndio maana chama kinakwenda kama kipofu gizani.
Rais Samia amefanikiwa kuyaleta makundi yote kwa pamoja na kupata uungwaji mkono kwa kila kundi,kuanzia kwa vijana,wazee,akina mama kwote huko Mama Samia anakubalika na kuungwa sana mkono.huku CHADEMA ikisusiwa na kupuuzwa na watanzania.ndio maana mliona waliopoitisha hata maandamano aliishia kujitokeza Mbowe na mwanae tu ,huku Mke wake akiwa haieleweki kama alikuwa anakwenda kazini au kuwaomba majirani waandamane.Huku Mbowe akiwaomba waandishi wa habari akina Salimu KIkEKE waandamane naye.View attachment 3141244View attachment 3141254
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mgombea wa CCM ni mmoja tu Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mambo ya utamadun Karne hii! Katiba ya chama inaruhusu wanachama kugombea au
Ndio matakwa ya katiba ya CCM?Ndugu zangu Watanzania,

😂😂😂 dah pazto sasa ili mtuaminishe nyie ndyo bab na mam Wa democrasia nchni watiania wanatkiwa kuwa zaid ya 50 alaf mpge kura mpitishe moja kwa haki ndyo tutajua hz uchaguz ainaga uwz wakuraNdugu zangu Watanzania,

Andika kwa kutulia na siyo kuandika utafikiri unakimbizwa nyuma

Hili linajulikana sema watu wanajitoa ufahamu tu kama vile hawaijui CCM. Sasa hivi kuna magazetinyanatafuta habari za kuuza hadi wanaandika uongo eti kuna wagombea wengine wamejipanga kuchukua form[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyama binaongozwa na katiba sio utashi binafsi wala utamaduni.....jinsi mnavyompamba mnaogopa nini kumshindanisha wana ccm? Hofu yenu nini ? Mnaogopa kivuli chake....Soma nilichoandika na siyo kutoa maoni yako bila kulielewa andiko langu.sheria katika nini? Nimekuandikia andiko langu na kuweka hadi mifano na ufafanuzi wa kina.
kubwa jinga hiliNdugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia wala kutamka hadharani au mahala penginepo pale popote pale .
kuwa anataka kuchuana na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika kuomba ridhaa ya kupeperusha Bendera ya CCM.
Hii ni kwa kuwa kwa utamaduni wetu CCM ni kuwa mgombea wa CCM atakuwa ni Rais Samia pekee ambaye atachukua na kurejesha Fomu ya Urais,ni Rais Samia pekee ndiye atakaye achiwa nafasi ya kuchukua Fomu hiyo ya Urais,Ni Rais Samia pekee ambaye atakuwa na nafasi ya kuendelea na muhula wa pili wakuongoza Taifa letu,ni Rais Samia pekee ndiye anayetarajiwa kuiwakilisha CCM katika uchaguzi Mkuu hapo Mwakani dhidi ya vyama dhaifu na vilivyokosa Dira na muelekeo aina ya CHADEMA.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Aliyekuwa mwanachana wa CHADEMA Mbunge Jesca Kishoa aomba 2025 itolewe Fomu 1 tu ya Urais kwa Samia Suluhu Hassan
Imekuwa hivyo kwa CCM tangia kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa Nchini.Imekuwa hivyo wakati wa Hayati Benjamini Mkapa mwaka 2000,Imekuwa Hivyo kwa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2010,Imekuwa hivyo kwa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli 2020 Na itakuwa hivyo kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan 2025.
Na ndio Maana mpaka sasa upinzani umejikatia tamaa kabisa ya hata kutafuta mtu wa kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.maana wanajuwa hawana mtu mwenye uwezo wala nguvu wala ubavu wala ushawishi wa kuweza kushindana na Mama huyu imara,hodari, shupavu na madhubuti kwelikweli.
Kwa sababu mtu yeyote yule mwenye akili Timamu na anayejitambua na asiye na upofu wa akili na macho anatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia na serikali yake ya CCM iliyogusa Maisha ya watu na kuleta tabasamu na matumaini kwa mamilioni ya watanzania.
Ndio sababu ya kuona kwa sasa upinzani kama CHADEMA Wamekata tamaa hata ya kufanya mikutano ya hadhara.huwaoni hata wakifanya hamasa ya jambo lolote lile kama zamani.ndio maana unaona akina Mbowe wapo kama hawapo,huku watu kama lissu wakiwa mguu pande na njia pande kuendelea kukaa na kusalia CHADEMA au kutafuta makazi mapya.Ndio maana chama kinakwenda kama kipofu gizani.
Rais Samia amefanikiwa kuyaleta makundi yote kwa pamoja na kupata uungwaji mkono kwa kila kundi,kuanzia kwa vijana,wazee,akina mama kwote huko Mama Samia anakubalika na kuungwa sana mkono.huku CHADEMA ikisusiwa na kupuuzwa na watanzania.ndio maana mliona waliopoitisha hata maandamano aliishia kujitokeza Mbowe na mwanae tu ,huku Mke wake akiwa haieleweki kama alikuwa anakwenda kazini au kuwaomba majirani waandamane.Huku Mbowe akiwaomba waandishi wa habari akina Salimu KIkEKE waandamane naye.View attachment 3141244View attachment 3141254
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hadi mods unawafundisha kazi!!!!!Moderator naomba Mfanye marekebisho hapo kwenye kichwa cha andiko langu na kukiweka kama nilivyokuwa Nimekiweka Mimi kwa kusomeka kuwa👎
Hakuna Mwana CCM. Na siyo kama Ninyi mlivyo weka na kuandika kuwa Hakuna CCM.
Sasa mikwara ya nini? Vipi kuhusu February habari zake hujazipata bado?Hakuna hofu ya aina yoyote ile zaidi ya ushindi kwa kila kitu .