DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nyie vijana mnazingua watu kibao wanapesa ila kuoa mpaka mtu apendeNdio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie vijana mnazingua watu kibao wanapesa ila kuoa mpaka mtu apendeNdio
Kama mimi aisee nimekosa kabisa mke wa kuowa...nimeamua nitulie tu nilee wajukuu
Uko juu kwa uchambuzi.HAKUNA MWANAMKE ANAYEKOSA MUME WA KUOLEWA NAYE.
Anaandika, Robert Heriel.
Kuna uvumi unaoendelea katika jamii zetu za kiafrika kuwa mwanamke akifika umri Fulani anakuwa katika Mazingira magumu ya kuolewa Jambo ambalo sio kweli. Mwanamke anaweza kuolewa katika umri wowote hata akiwa kabibi, Ila mwanaume ndiye yupo limited katika suala la kuoa. Nitafafanua hapo chini.
Nimewahi kuwasikia mpaka wachungaji na watu mashuhuri wakihubiri Jambo hili, Hali inayowafanya wanawake waathirike kisaikolojia tofauti na uhalisi. Ati mwanamke akifikisha miaka 30 yupo kwenye hatari ya kukosa mume, sio kweli.
Ngoja uone utofauti wa mwanamke na Mwanaume linapokuja suala la Ndoa. IPO hivi;
1. Mwanamke anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 12 lakini mwanaume hawezi kuoa akiwa na umri huo hata afanye nini.
2. Mwanamke hata awe CHIZI anaweza kupata mwanaume walau wa kumtamani na kumzalisha, lakini mwanaume akiwa tuu Rafu au fukara achilia mbali uchizi na ukichaa inaweza kumsababishia asipate mtoto au mke.
3. Mwanamke hata awe na miaka 60+ anaouwezo wa kuolewa tena na kuihudumia familia Kama mke, lakini Mwanaume akifikisha miaka 60 Hana uwezo wa kuoa mke mwingine labda awe na pesa au Mali. Wakati mwanamke hata akiwa Masikini Anauwezo wa kuolewa tena.
4. Kadiri mwanaume anavyochelewa kuoa na akakosa Mali ndivyo anajihatarishia Mazingira ya kupata Mke lakini mwanamke yeye Hana kuchelewa.
Kizuizi pekee Kwa wanawake mpaka wanakuwa under pressure ni suala la Uzazi kuwa na kikomo Hilo ndio kubwa, la pili ni utegemezi Kwa waliowengi ambao hupenda kuhudumiwa.
5. Mwanamke hawazi ataolewaje kwani yeye mwili wake ndio nguzo muhimu kuitumia. Lakini mwanaume lazima awaze ataoaje kwani kuoa lazima uwe umejipanga, lazima uwe na uchumi mzuri, lazima uwe na nguvu za kiume, lazima uwe na hadhi anayohitaji huyo Mdada.
6. Mwanamke Hana wajibu wa kuihudumia familia Bali kuilea familia. Mwanaume anawajibu WA kuihudumia na kuolewa familia.
7. Mwanamke yeye kwenye ndoa hata asipokuwa na nguvu za kike wakati WA tendo la ndoa haiathiri chochote, kwani asili ya mwanamke hayupo After Sex, sex sio kipaombele. Ndio maana anaweza kukaa muda mrefu bila Sex lakini Kwa mwanaume ni tofauti, mwanaume akikosa nguvu za kiume ujue ndoa ipo mashakani.
Hivyo ndio maana ni rahisi mwanaume asiyeweza kwichikwichi kukosa mke, lakini mwanamke asiyeweza kwichikwichi anapata mume. KAZI ya mwanamke akiwa 6*6 inaweza kuwa kutega kitendawili alafu mwanaume akitegue.
7. Mwanamke kukaa muda mrefu bila kujulikana Bwana wake sio shida kwenye jamii, lakini mwanaume kukaa muda mrefu bila kujulikana anapopumzikia au ikionekana hajaingiza kidemu inaweza kuwa mbaya na kuonekana anatatizo la kiafya, na kuzuka Kwa Majina Kama Mchicha mwiba, hanithi, jogoo haoandi mtungi n.k
Hakuna wanawake wanaokosa waume wa kuwaoa, Ila wanawake ndio huchagua wanaume wa kuolewa nao.
Wanawake wanachagua hadhi, hupenda wanaume wenye vipato, wazuri na wenye mvuto. Hilo ndilo huwachelewesha kupata mume.
Wanawake wote wanaotaniwa na kushutumiwa kuwa hawajaolewa sio kwamba hawatongozwi, sio kwamba HAO wanaowatongoza hakuna ambao hawapotayari kuwaoa, Hasha! Wapo sema wanaotaka kuwaoa hawana vigezo Wanavyovitaka.
Wanawake wa kisasa waliosoma vyuo vikuu, wadada wa mjini ndio wanaoongoza Kwa ubaguzi wa wanaume hasa Wale wanaume wachovu na wasio na hadhi wasizozitaka.
Lakini kimsingi hakuna mwanamke anayekosa mume WA kuolewa Naye.
Kijana wa Kiume Kama Hana kazi, na Hana maisha mazuri ndiye anatakiwa awe na mashaka ya kuwa ataoaje.
Maana kadiri kijana anavyokuwa mtu mzima, alafu akakosa pesa ndivyo anavyojiweka katika Mazingira magumu ya kupata mke.
Ramadan Kareem
NakaziaKuanzia leo ni MARUFUKU kwa MWANAMKE YEYOTE kuanzisha UZI kwenye jukwaa la LOVE CONNECT
Tukikukuta tutakuulia hapo, WEWE!!!!
kuolewa ataolewa lakini siku anapigwa anataka kwenda kwao anamuomba tena aliyempiga ampe nauli.Kwa mwanaume ndio maradufu.
Kama huna pesa unaoa ili iwe nini?
Mwanamke hata asipokuwa na pesa kwake haina shida anaweza kuolewa na akasustain
Nyie vijana mnazingua watu kibao wanapesa ila kuoa mpaka mtu apende
kuolewa ataolewa lakini siku anapigwa anataka kwenda kwao anamuomba tena aliyempiga ampe nauli.
akipewa kichapo na mme wakeKwenda kwao kufanya nini tena? At least mara moja Kwa mwaka au matukio muhimu kama Misiba. Lakini sio vile atakavyo.
Hata kama anapesa hiyo kwangu haiwezi kutokea.
akipewa kichapo na mme wake
hivi vibao viwili vitatu kwa mwanamke mwenye uchumi mzuri mtafikishana mahakamani, lakini kama hana kitu ataomba msamaha tuu.Labda kumfunza adabu Kwa kumchapa vibao viwili vitatu.
hivi vibao viwili vitatu kwa mwanamke mwenye uchumi mzuri mtafikishana mahakamani, lakini kama hana kitu ataomba msamaha tuu.
mguse uoneSio kweli.
Niko na Mwanamke wa level hiyo Boss.
Mimi nimeishi na Bibi na bado alikuwa anachumbiwa MKUU
Kikwetu hata mtoto mchanga anaozwa mkeUnajua maana ya kuoa lakini Mkuu?
Usije ukadhani kuoa ni Kama kuweka mtu ndani Kama mdoli.
Mtoto wa miaka 12 wa kiume Hana uwezo wa kuoa hata angefanya nini
mkuu kwahiyo kwenu machizi hawaoiMwanamke kukosa Mwanaume wa kuolewa naye wapo wengi sana kuliko Wanaume waliokosa wake.
Sifa kuu zinazohitajika kwa kila mmoja ili aweze kutimiza Ndoa.
Mwanaume: Shughuli ya Kukuingizia Kipato, Urijali & Akili Timamu tu.
Mwanamke: Uwezo wa Kuzaa na kuhudumia familia.
BAASIII!!!
Kwenye point ya uchumi nimekuelewa vzr sana lkn,huko kwingine naona ni mtazamo wako binafsi (subjectivity)Noma Sana!
Mwanaume Kama huna uchumi huwezi kuoa.
Ila mwanamke anauwezo WA kuolewa hata akiwa na miaka 19
Sawa mkuuAcheni kuchagua Sana