Hakuna Mwanamke anayekosa mume wa kumuoa, Ila wapo wanaume wanaokosa wake wa kuwaoa!

Uko juu kwa uchambuzi.
 
Nyie vijana mnazingua watu kibao wanapesa ila kuoa mpaka mtu apende

Ili uoe unatakiwa uwe na vigezo;
1. Mwanaume Rijali
2. Pesa za kutunza mke na watoto.
Sio utegemee pesa za mke.

Usifikiri kuoa ni Sawa na kuolewa Sheikhe!
 
kuolewa ataolewa lakini siku anapigwa anataka kwenda kwao anamuomba tena aliyempiga ampe nauli.

Kwenda kwao kufanya nini tena? At least mara moja Kwa mwaka au matukio muhimu kama Misiba. Lakini sio vile atakavyo.
Hata kama anapesa hiyo kwangu haiwezi kutokea.
 
Kwenda kwao kufanya nini tena? At least mara moja Kwa mwaka au matukio muhimu kama Misiba. Lakini sio vile atakavyo.
Hata kama anapesa hiyo kwangu haiwezi kutokea.
akipewa kichapo na mme wake
 
Labda kumfunza adabu Kwa kumchapa vibao viwili vitatu.
hivi vibao viwili vitatu kwa mwanamke mwenye uchumi mzuri mtafikishana mahakamani, lakini kama hana kitu ataomba msamaha tuu.
 
Mwanamke kukosa Mwanaume wa kuolewa naye wapo wengi sana kuliko Wanaume waliokosa wake.

Sifa kuu zinazohitajika kwa kila mmoja ili aweze kutimiza Ndoa.

Mwanaume: Shughuli ya Kukuingizia Kipato, Urijali & Akili Timamu tu.

Mwanamke: Uwezo wa Kuzaa na kuhudumia familia.

BAASIII!!!
 
mkuu kwahiyo kwenu machizi hawaoi
 
😀 😀 nimekakumbuka kale kabibi kalio olewa na rais wa ufaransa miaka 44 sijui kanamiaka mingapi.
Juzi kalikuwa kana tabasamtu baada ya jamaa kunyakua ushindi tena.
 
Noma Sana!

Mwanaume Kama huna uchumi huwezi kuoa.
Ila mwanamke anauwezo WA kuolewa hata akiwa na miaka 19
Kwenye point ya uchumi nimekuelewa vzr sana lkn,huko kwingine naona ni mtazamo wako binafsi (subjectivity)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…